Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Vipi hutaki kuchukuwa kijiti chake?
 
Kosa lake ni kumkaribisha nyumbani kwake. Zipo sehemu nyingi sana za watu kukutana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakimu au jaji anayemfunga mtu kwa kosa ambalo si la kweli hubeba mzigo wa dhambi siku ya kiama atachomwa moto mkali usio na kikomo na wale waliomtuma kumfunga ipo siku mungu atawalipa malipo huwa hapa hapa Duniani
Cha ajabu atachomwa kwa kiwango kilekile kama cha mwizi wa kuku, mtukanaji, na mzinzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Ndio Ujue Serikali inafanya makusudi kutoliletea taifa maendeleo

kama TISS wanaweza kupanga mission kiasi icho wanashhndwa nini kupanga mission za maendeleo ya taifa? kumuondoa mwehu ikulu!

Taifa ni maskini kwa uzembe tu watu wana uwezo!
 
Kwa hio ccm mnaona sifa kutengeneza wakimbizi wa kisiasa. Mnayajua madhara ya hiyo biashara mnayoifanya ?
 
Kwa hiyo wakosoa serikali ni watakatifu hawawezi kuwa wezi,majambazi,wauza unga nk? Wazaa nje ya ndoa kama mbowe na Joyce mukya? Nk

Hatusemi ni watakatifu, ila huyo mdude kabambikiziwa kwakuwa ni mkosoaji fullstop.
 
Una uhakika ametumiwa hio hela au unabwabwaja hapa kwa maneno ya kusimuliwa.

Acha ukiazi mbatata
 
Hakuna la kumtia moyo hapo. Vijana wengi wa chadema wanatumika viongozi wao (mbowe, sugu na prof Jay) kama punda wa kubeba mzigo wa dawa Za kulevya. Wasipoiacha kazi hii ambayo haijawahi kulipa wataumia kwani ni suala la muda. Huyo Mdude alikuwa akienda Zambia na DRC kama anatoka kimara kwenda Kariakoo kumbe ndio dili zake. Anajificha kwenye kivuli cha uanaharakati na ukosoaji wa serikali ili atakaponaswa ionekane anaonewa.... Pumbavu, juzi amekamatwa mbunge wa CCM jimbo la kishapu Mhe Suleiman (Nchambi) akiwa na sialaha 16 na risasi za kutosha wote tulishangilia na kusema wacha waisome namba leo tunamtetea mtu anayechochea mateja kuongezeka ili yeye apate utajiri....

Acha sheria ichukue mkondo wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa
 
Ni mhalifu kama wengine tu amekamatwa na madawa ya kulevya acha apambane na Sheria ni ujinga kumuona Hana hatia kisa tu ni msukule mwenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan amekuja kukuomba msaada we mdada.Acha upumbaf maisha yake hayakuhusu
 
Vijana mshikeni Mungu ili muwe na Amani,

Usikubali Kwa namna yoyote Ile kutumiwa na Chama ukapenda kupewa like mitandaoni na kichwa kikavimba, ukasahau kuwa maisha bora unayo mikononi mwako

Acheni mihemko isiyo na tija
 
Hapa alishindwa kusoma alama za nyakati.
Alitakiwa kuwa nje ya nchi mapema sana tangu walipomkosa kosa kipindi kile.
Alikuwa anafanya Jambo la hatarii sanaa...! Alitakiwa awe nchi za nje huko wakati anafanya hayaa lakini duu kajichanganyaa mzeee...huruma sana atafungwa mpaka mzee baba amalize muda wake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule alikuwa anaigiza uanaharakati wakati mwanaharakati huwezi kuwa na njaa ya papuchi za Instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…