Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
7,567
11,486
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
 
Matusi aliyotukana yako wapi?

Wee unafikiri hajipendi na alichokipata huko na alichofanyiwa..
Wee angalia wale wote ambao walishatekwa na wakaachiliwa kwa sasa wanaishije

Aliuchokoza mzinga wa nyuki, akaondoka na manundu uso mzima, hatarudi tena kukatiza mtaa ule.
 
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Mkuu mbona ametoka kupost IG kama lisaa lililopita tu.
_20191013_095348.JPG
 
Unataka ukamuue?

Labda anatumia jina jingine baada ya ubatizo wa moto.
 
Wee unafikiri hajipendi na alichokipata huko na alichofanyiwa..
Wee angalia wale wote ambao walishatekwa na wakaachiliwa kwa sasa wanaishije
Unata kusemaje? Kwamba wakitekwa na kuachiwa inakuwaje?
 
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Nasikia rinda zilifumuliwa cku hizi anashinda na pon pon.
 
Back
Top Bottom