Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
@mdude chadema

Yuko hapo mkuu hana jipya
 
Hivi Edward Snowden yupo wapi ? Kapotea aseee ! Julian Asange nae vipi jamani ? THE POWER OF STATE ! don't mess around expecting to Scot free !
 
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Una swali lingine?
IMG_20191013_104559.jpeg
 
Pumbavu!
 
Namna ya ukosoaji wa mdude haiwezi kubaliwa na yeyote mwenye akili timamu.

Unaweza mkosoa rais kama haki yako kikatiba inavyokutaka,lakini rugha za dhihaka wakati huo zitampa sababu ya kukunyamazisha kabisa.
 
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Instagram media - B3jBrBFguXt ( 640 X 640 ).jpg

unapoandika uongo hasa mahali kama jf ni lazima utakuwa mwehu
 
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
Nenda Twitter yuko mwingi tu!
 
.
72898285_532738204182495_8477561321650511542_n.jpeg
 
Kubinywa pvmbv na pliers unadhani jambo dogo,kwa hizi nchi zetu za Kiafrika ambako viongozi wengi ni wajanja wajanja epuka kitu kinaitwa “kuwa mpinzani wa rais” utakufa siku si zako au utageuzwa hanithi!
 
Ndiyo, kupitia matako ya mamako.

Mama yangu ana matako kama ya mama yako na yako mwenyewe!

Wote tuna matako!

Endeleo kutumia hayo matako kufikiri!

Na unajua matako yatoa what,shit!

Thats why your thinking is shitty!
 
Naomba nikutakase
Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
 
Yupo anashusha nondo kama kawaida.

..kesi aliyofungua dhidi ya Polisi waliomtesa imefikia wapi?

..Mdude aliweza kuwatambua watesi wake mpaka force number zao na hivyo kuwashtaki kwenye tume ya haki za binaadamu na mahakamani.
 
Back
Top Bottom