Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

Mdude CHADEMA kapotelea wapi?

Ni kijana aliyepata umaarufu kwenye chama chake kutokana na kumtukana na kushambulia serikali ya Magufuli.

Kuna wakati alitoweka na alipopatikana alionekana kajeruhiwa sana.

Katika vijana wa chadema ambao waliamua kumtukana rais, huyu alijipambanua kwa uwazi kabisa na kuonyesha ujasiri wa juu kwani kuna wakati alimfananisha Magufuli na mgonjwa aliyepata gono kwa kuendekeza uasherati.

Kwa sasa hasikiki na hata ile akaunti yake naona haipo tena. Mwenye taarifa zake tujuzane tafadhali sababu mi ni mmoja wa mashabiki wake.
 

Attachments

  • 20190914_-1457411342.jpg
    20190914_-1457411342.jpg
    25 KB · Views: 6
Sasa mkuu hapo kwenye like why umedelete nikitaka kukujua si naenda kwenye account ya mdude nakuona au umefuta kotekote
Sasa kafanya umjuwe na ilikuwa usingewza kufikiria kama ni yeye. Itabidi uhesabu likes mpaka uipate ya 486th
 
Nikujue alafu inisaidie nini maishani mwangu?
Ili mradi wewe ni mwana jf utachapwa accordingly
Kumbe na wewe una akili zile zile za wale madogo wanaosema umesahau kuweka namba ya simu!. Ungenijua usingeandika pumba ulizoandika.
 
Back
Top Bottom