Mdude ameuawa?

Hao wapuuzi hio ndio dawa yao, hata mimi siwezi vumilia mbegu chafu ya aina hiyo ni kuing'oa tu ikafie mbele
 
Watanzania tumekaa kimya kama vile hakuna kitu kilicho tokea, noma sana huyu jamaa hatopatikana tena na hamtakaa mmuoneni tena....
 
Lazima tuheshimu viongozi wetu na kama wanakosea tuwakosoe kwa lugha nzuri na sio kutukana.
Ni vizuri una matumaini juu yake kuwa atarudi. Hilo ni jambo zuri' endelea kumwombea maisha yake arudi hata kama asipobadilika mahakama Zipo atashtakiwa ahukumiwe kwa sheria zetu maana ushahidi upo.
 
Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?

Samahani hapa umeuliza Swali au unathibitisha rasmi Kwetu labda kwamba hatunae tena Mkuu?
 
Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
 
Una tatizo ubongoni, ukabila umekukaa. Endelea kutumia hizo akili zako
Fact itabaki kuwa fact soma colonial economic makuli Na Kazi za mashambani wengi walitoka wapi,kwann awakujenga mashule mengi huko? Zaidi ya Kilimanjaro, bukoba,MBEYA.Uwepo wa kureason hamna zaidi kila kitu nguvu nguvu.Hata nyerere alitahadharisha sembuse wakoloni.Change,Ngeleja,Kitwanga,bashite,Masha nk ilikuwa ni ubabe ubabe mwingi hata Kwa palipotakiwa kutumia reasoning skill.
 
Nywanoko
 

Check mnavoaibika hata sasa mambo ya kutumia akili mnatumia nguvu tukisema wakoloni waliyaona hayo tunawaonea kweli? Alijua hata angewasomesheni vipi unyani hauwatoki angepata hasara thus aliendeleza jamii zingine fanya risachi,kazi za reasoning hamuwezi hii ni nature.Kazi ya kutumia fimbo kuadhibu mnatumia vifaru kuadhibu,mnauwa nzi Kwa bunduki elimu yenu inawasaidia nn hapo.
 


Wewe unayejitapa kuijua historia na kuisoma vizuri ndiyo huyo usiyeijua vizuri hiyo historia, ufanyacho ni kubwabwaja tu bila fact yoyote, Hujui hata sababu ya hao wakoloni kubase hayo maeneo unakuja na stori za vijiweni. Pole sana endelea kukalili
 
Mi nlikuwa simjui nikaingia you tube nikamuona anaongea kwa uchungu,anaeleza jinsi alivyotekwa mwanzoni na kilichompata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…