KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Hivi huyu ni mtu gani asiyekuwa na sura watu wakaona angalao sura yake?Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Nimesema ''Huwa ...Hawa..''CCM ni chama, na siyo mtu.
Chama kinaweza kutekwa?
Kila aliyehusika atalipwa kwa uovu wake .Kwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Unajua kusoma na kuandika. Umeelewa alichoandika huyo uliyem'quote'?Atafnguaje kesi wakati yeye mwenyewe ni wa kufungua?
Biblia inasema, nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha NNE. Je Biblia nayo inadanganya?Huu ni usemi tu wakati mwingine karma haitokei. Bora kumuita Jiwe kwa ID fake. Kuliko waziwazi kama mdude unless hutojali kupotezwa.
Unajua kusoma na kuandika. Umeelewa alichoandika huyo uliyem'quote'?
Ni waangalifu sana tangia wauwawe kule mkiru wakati chadema hawauwawi,hivyo ccm wao walijifunza namna ya kuwa makini,nanyi chamdomo mjitahidi kuwa na tahadharikwa nini CCM huwa hawatekwi?
Hivi huyu ni mtu gani asiyekuwa na sura watu wakaona angalao sura yake?
Hata CHADEMA hawana kabisa picha yoyote inayomwonyesha, au kuna siri gani hasa inayozuia asionekane. Hata gazeti moja hakuna lililo na picha yake? Ndugu zake waliopotelewa na mtoto wao hawataki sura yake ionekane, labda kuna mtu ambaye anaweza kujua alipo?
Hili pekee ndilo linalonishangaza tokea nilipoanza kusikia habari za kutekwa kwake.
Wakati wa mkiru chadomo walikemea?Sijawahi kusikia CCM ikikemea hadharani au kulaani utekwaji
Wakati wa mkiru chadomo walikemea?
kwa nini CCM huwa hawatekwi?
Jiwe alaniwe na afe kifo cha mateso makali sana.Hata kama yuko hai hali yake itakua mbaya sana. Inawezekana amepata kilema cha maisha.
Hakika watu hawana huruma. Tunalazimishwa sana kuiingiza nchi kwenye machafukoKwa hali hii ya sintofahamu inayoendelea, huyu mtu hadi sasa ni mzima?, Je ameuawa?
Kwa kweli roho yangu inaumia sana yaani imekuwa baridi mno juu ya tukio hili la kutekwa na kutoonekana kwa huyu jamaa!.
What is going on kwa huyu kijana, Je ameuliwa?
Bhokasa aliwapa mamba miili ya wapinzani wake. Alikufa kifo cha mateso sanaJiwe alaniwe na afe kifo cha mateso makali sana.
Malipo ni hapa hapa duniani!Bhokasa aliwapa mamba miili ya wapinzani wake. Alikufa kifo cha mateso sana
Iddi Amin aliua wote waliokua tishio kwake. Aliishia kufa ukimbizini alizikwa na familia yake tu. Kabla ya mauti kumkuta damu zilimtoka katika kila uwazi wa mwili.
Wewe ni ngederes kweli kabisaCHADEMA imejaa wanafiki tupu, hivi mlishindwa kumkanya mapema kwamba akosoe bila kutukana? Mlikua mnafurahia matusi yake saivi mnavimbisha midomo ee, mimi nasema hivi wamsurubishe tu maana hana adabu na hana watu wanao mtegemea mpuuzi mkubwa