mpasuajipu99
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 678
- 120
Mdosi eee ndio unaona rahaaa kusimulia humu, ngoja akukojoze kisha aanze kukuchambua ndio utaona raha zaidi. Lazima atakuvalisha sweta lake kwanza kukuondoa baridi.
yani...!!Ongea chochote
yani...!!
Endelea kufikiri hivyo hivyo....kama wewe unaona mdosi ndo big deal. Maana hata kufahamu mada hujafamu. Hapa kuna kazi na urafiki.We sema unataka kuwalingishia vicheche wenzio kuo upo karibu kuopoa mdosi, na kutiaminisha unataka u mchune tu na kumtosa, kwan akikupanda utakuja kutuhadithia hapa?
Nini mbaya
Ukweli ni mchungu lakini inapobidi mtu kumezeshwa hakuna namna!! Ameoa na ana watoto duuuh!! Mtafutie evidence uhakikishe kweli analolitaka ni hilo!! Maana anaweza kuwa na yote uliyosema kumbe jamaa zikawa ni flirting tu ili kukamilisha deal zake, mwambie unaijali familia yake hasa watoto wake na kama kuna uwezekano tafuta uswahiba na mkewe atapunguza kasi yake kwa hofu labda mnamuongelea na mkewe!!
nothing...!!!
Mimi kama mimi siamini au kawaida nashangaa kwanini mtu anacheat au extra marital affairs . Niko katika dilema na huyo mdosi ambae ni coworker, he is married and kids, kwa kawaida hawa watu ni wabaguzi so rightly speaking I dont fancy them.
Sasa issue huyu mdosi bwana kahamishwa hapa kwetu na ni mchapakazi, lakini kikazi tunaingiliana kisana. Hawezi kufinalise his projects without my inputs, he is more technical cum sales and Im into commerical aspects. sasa mara kwa mara huwa deals zake lazima nizipe kwangu. Inafikia lazima tuende tukanegotiate at customer place, hii ikaleta ukaribu zaidi. Hii imeendelea kwa muda wa karibu Mwaka, nimekuja kugundua ni zaidi nionanvyo ni kabla ya 2 weeks back. The guy seem is on mission.
-Napata free Lunch lol!
-Saa nyingine usafiri sina napewa usafiri for number of days as I wish!
-Akienda kwao Zawadi.
-Sikuja kazini misimu, sometimes calling for no reason.
-Everynow and then yupo office kwangu.
-Ataka kujifunza Dini yangu na Lugha yangu.
-Kuna katrip nje ya Nchi kikazi naona, jina langu kalitia.
-
Ananotice hata rangi ya Kucha (naiipolish).
-Kaingia gym sababu mimi ni mtu wa kujijali in that area.
-Eyes contact hazishi.
Sasa huyu yuko kwenye kupiga sound ama vipi maana nataka kujitoa kwenye majanga naweza mchuna if I want to lakini hakuna kula bure na wala sio tabia yangu. Nimeacha kuambatana nae kwenye deals zake lakini naogopa nisijekuwa najishuku tu nikakosa friend na kuathiri utendaji wangu wakazi. Maana tukileta customer tunapaka equal credit.
Nipeni mbinu

nop, i didnt mean that way, u know galz tukipata mwanaume ana care, show u some love unajua anakutaka..... I mean ni ngumu kupata frnd wa hvyo esp coworker akawa ana ku-treat like that!! si mbaya kufikiri in negative way, lakin just tek him as a friend, utafaidi mengi.... usikute hata hakutaki masikini, ni basi tu vile anapenda company yako na to hang around with u! kwa wenzetu wanakuwa na best friend wa kike wakiwa wameoa coz sio kila kitu utamwambia mkeo akufanyie or kukushauri, sometimes utataka ushauri kutoka kwa gal ambao hutaki mkeo ajue, and u don't hav anyone to talk to!! ndio maana ya galfriend, or boyfriend! ila sisi huku huyo galfriend ndo mchepuko..... hope u gat my pointDhahabu mume wa mtu....
Hawa watu unaweza mdhania hiv kumbe hata huko hayuko tena hayuko kabisa
umeona eehh.... ye aende nae tu mpaka mwisho, ajue nini kinafuata, hata akimtaka maazuzi si yake kukataa au kukubali
kabisaaa.....Ni kweli ndomana namuambia yeye wala asitie shaka mwenye maamuzi ya mwisho n yy