Mdosi kaniganda

Mdosi kaniganda

LooL
Hebu toa ushauri wako....basi...saa nyingine maarifa unazidiwa
Madame Eks, nikupe mchongo uone taswira (movie mbele yako)..hivi Mletee zawadi Mdosi wako !! (hata mfuko wa chichiri) !! akichukwa ujue ni urafiki tu ! na akiupotezea ujue yupo ready !!
 
Wao hawana muda na kuku Wa kienyeji...sana sana hatakuchokonoa papuchi halafu anasepa zake....toa ushamba.
 
Anakutaka huyo. Ndivo walivyo, kuna mmoja hapa alikua kila kitu lazima aniite. Nikamla walahi.
 
jamani mnaharibu kiswahili, mie mmeniacha. MDOSI ni mtu gani.enzi za kifimbo cheza ungelamba fimbo. usimchune, be friend and if u can, try to visit his family.
 
Back
Top Bottom