Mdoli wa NGONO!!

I think those are creative ppl and they know how to make money... I am impressed....
 
hahha i am speechless... hivi kumbe mademu ni dili ngumu? Poleni jamani
 

Hapa hakuna swali la wanaume maskini ndugu! Kumbuka hilo Doll limetengenezwa kwa gharama ya paundi 4000 - karibu milioni 9 ya kitanzania.
Huyo maskini unayempigania ana ubavu?
Hapa ni swala la kukubuhu kwa ukengeufu wa mwanadamu na kutaka kupindukia yake yaliyo kinyume na mwenendo wa kimaumbile.

Tumia fedha zako kwa uangalifu , vinginevyo zitakushusha kwenye 6 FT under.
 
yes why not. natamani uje tanzania haraka mtakoma kuringa na hii ndio dawa ya ukimwi
 
Hiyo itakuwa safi sana kwa Tanzania katika swala zima la kupinguza maambukizi ya VVU.
...Hiyo itakuwa nzuri kwa wale wadada wanaopenda kupiga mizinga mara nataka nguo ya sikukuu, mara sijui kodi imekwisha watanifukuza nilikopanga. Nadhani hapo hutahitaji condom...Mh! lakini si kama kupiga puli tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…