Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,727
- 171,998
Ikisimama panda
Wadau wana Jf,
Nina mdogo wangu wa kike mtoto wa mama wa kambo ni mzuri mno na ananitaka kimapenzi na huwa muda mwingi na baki nae nyumbani na anashinda na kanga moja na kuniletea mitego mingi.
Juzi wazee waliondoka tukabaki wawili nyumbani dahhhh! Usiku alikuja rum kwangu nikiwa nimelala akajiunga tukalala wote kustula usiku nikashangaa kumuona akiwa kavaa chupi na sidiria tu nilichomoka upesi mpaka sebuleni nikiwa najiuliza mara mbili nini kimetokea.
Alikuja huku analia na kusema maji yamemfika shingoni anahitaj penzi langu akanambia ikiwezekana nifanye nae nilikataa. Sasa wazee wamerudi na ameanza kunichafua kwa mama na baba kasema ata stop kufanya ivyo kama nikikubali kumpiga mambo.
Nishaurini wadau nini nifanye.
Asanteni
Yaani hapo aliposema ni mzuri mno akili yangu imeenda mbali sana...
Kitu fupa!!! yaani nimeimagine ni mwanamke flani hivi amekatika katikati, yaani upande wa juu na wa chini unaweza kuhisi ni watu wawili tofauti, ni kama mtu mdogo kabebwa na mtu mkubwa, halafu anamipaja ya kuvutia hatari, ukiwa nae mda wote unacheka cheka tu kama Marehemu Kanumba!! hata njaa husikii.. Dah, hawa wanawake hawa!! Tusingekua tunakufa sijui tungestarehe vipi!!Kwanini mkuu, umbali gani ilienda.
Mi nakushauri jenga picha kichwani, kisha fikiria kama unaweza kumuoa. Ukiona inawezekana fanya taratibu umuoe. Kama haiwezekani muache usimguse.