Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,433
- 21,448
tatizO MLIANZA KUTEGEMEA WAGANGA MUDA MREFU! MKATENGENEZA NJIA YA KULOGWA!Ni Dada yangu wa mwisho ktk familia ya wanaume 7 wasichana wawili....Alikuwaga mzima NA mwaka huu alitegemewa kuwa form ii ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kias kwamba huwa anapandisha NA akipandisha anasema shule hataki.....Sasa hiv yuko nyumban tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake....Tumejitahid kumpeka hospitali,Kwa waganga,kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nn kwa kwel....Kwa wenye exprience na haya mambo ushaur tafadhalini
Kuna movie nilishawahi kuangali sijui inaitwaje...Ila Mwisho wa siku ilokuja kujulikana kuwa binti ana multiple personality Disorder.Wazungu wanaita Multiple Personality Disorder,sijui tiba yake nini ,labda ufanye research
Hivi makanisa ya kiroho ndo yepi hayo..??Ayo mambo yapo sana katika mazingira yetu tunayoishi.solution, tafuta kanisa LA kiroho na atapona.usiende kwa matapeli kama ......!
Yapo mengi,kwa nilipo mkoani yapo,nayajua vema.sababu tatizo kama ilo lilimpata mtoto wa rafiki yangu tena hao maruhani wako walikuwa wanataka vitu(Pete) vya thamani zaidi mil 2,hauwezi kuamini ayo makanisa ya walokole ndio yamemsaidia.Hivi makanisa ya kiroho ndo yepi hayo..??
Hakutakiwa kugusa kwa mganga,angesimama kwa yesu tu.Hivi makanisa ya kiroho ndo yepi hayo..??
Sijaelewa hapa, yaani mtumishi alipewa vitu vya milioni 2 au maruhani yalihitaji vitu hivyo?Yapo mengi,kwa nilipo mkoani yapo,nayajua vema.sababu tatizo kama ilo lilimpata mtoto wa rafiki yangu tena hao maruhani wako walikuwa wanataka vitu(Pete) vya thamani zaidi mil 2,hauwezi kuamini ayo makanisa ya walokole ndio yamemsaidia.
Hujajibu hili swaliHakutakiwa kugusa kwa mganga,angesimama kwa yesu tu.
Hivi makanisa ya kiroho ndo yepi hayo..??
Ni Dada yangu wa mwisho ktk familia ya wanaume 7 wasichana wawili.
Alikuwaga mzima na mwaka huu alitegemewa kuwa form ii ila kuna watu wabaya wamemtupia vitu vya ajabu kiasi kwamba huwa anapandisha na akipandisha anasema shule hataki.
Sasa hivi yuko nyumbani tu na akipandisha huwa ni mateso makubwa kwake. Tumejitahid kumpeka hospitali,Kwa waganga,kanisani ila hakuna nafuu yeyote hatujui tufanye nn kwa kwel.
Kwa wenye exprience na haya mambo ushauri tafadhalini.
Hujanijibu swali nililo ulizaHakutakiwa kugusa kwa mganga,angesimama kwa yesu tu.
Weka maelezo vizuri...Yapo mengi,kwa nilipo mkoani yapo,nayajua vema.sababu tatizo kama ilo lilimpata mtoto wa rafiki yangu tena hao maruhani wako walikuwa wanataka vitu(Pete) vya thamani zaidi mil 2,hauwezi kuamini ayo makanisa ya walokole ndio yamemsaidia.
Umri huo ndiyo zaoMmejuaje kwamba amepigwa juju na sio kwamba hataki shule ili akawe mbongo movie?