Niliwahi kuhudhuria kikao kina kisa kama chako, kwenye kikao mwanamke aliyekuwa akitembea na mdogo wake mumewe akauliza, "Ipi bora, kutembea na mdogo wake mume wangu au kutembea na watu wa nje? kwani mume wangu haniridhishi". Hapo sasa!
Kuna uwezekano hata hao wanao wa kwanza si wako.
Ushauri:
Amma kubali matokeo usamehe yaishe, lakini kama unajijuwa kuwa pumzi zako ni ndogo uukubali ukweli kuwa ataliwa tu, sasa ukubali amma aliwe na mdogo wako amma akaliwe nje!
Au muwache aende na njia zake, maana humuwezi huyo.
Kama dini yako haikuruhusu kutoa talaka, ingia kwenye Uislaam, umuwache kihalali. uendelee na maisha ya Kiislaam, utakuwa umeuwa ndege wawili kwa jiwe moja, kwanza utakuwa umeongoka kwa kutoka kwenye kiza cha kuabudu binaadam mwenzako na kurudi kwa kujisalimisha (Islam) kwa aliyekuumba na pili utakuwa umetatua tatizo la talaka kwa mkeo.
mpofue macho alafu wee jipige risasi
wengi humu naona mmeegemea upande 1 lawama zotee mwamtupia mwanamke but katika huu Uzi kuna mengi sana yakuyaangalia .
hapa jamaa kaeleza tu kwa upande 1 ujue some times wanawake huwa wanakuwa sahii kabisa unaweza ukaona ndani ya hiyo 5yrs mwanamke kafaidi raha ya ndoa kwa mwaka 1 tu baada ya hapo nimateso ya moyo na masaliti kibao kutoka kwa mumeo lkn kwakuwa huyu jamaa hajayabainisha hayo basi mwanamke ndio anaonekana mkosaji sana kuna wanawake huwa wanatupenda wanaume kwa moyo wao wote lakini huishia kupata shukrani ya maumivu na fedheha ndani ya mioyo yao.nakufanya kuchange direction na hatimaye nao huamua kutafuta sehem ya kutulizwa maumivu na majeraha yao.
mwishowe mambo kama haya yakusalitiana ndio huwa matokeo yake
Dah! Dunia ina mambo hii....!Inasikitisha mno, pole sana najaribu kuvaa viatu vyako lakini mmh! Anyway jipe muda kutafakari pia jiweke karibu na Mungu akupe hekima katika lolote utaloamua. Ni ngumu, ila mna watoto wangapi? Then je tangu muoane ulishawahi kumsaliti kama ndivyo consider that japo ni ngumu lakini jiulize we ulishawakosea wangapi, je Mungu akihesabu makosa yako? Ila chukua ushauri Wangu wa a wali.
Samehe saba mara sabini maana yametokea tayari pia wakati unafanya fumanizi ni wazi ulijua kamwe ndgyo hawezi kukusaliti
daaah hii mikasa sikia kwa mwenzio tu.wanawake viumbe hatari sana
Pole sana ...
Jiulize kama mna watoto wstaishije mkiachana...
Kama umewahi kumsaliti kwa njia moja au nyingine samehe mara saba Mara Sabin
Mkeo haifai inahitaj moyo wa ziada kulala na mwanaume ndani na kitanda mnacholala sio