mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 644
- 502
- Thread starter
- #21
Ndio nampambania hapaMpe au mmtaftie haraka tupunguze wazinzi mtaani. Mambo matatu hatupaswi kuyachelewsha moja wapo kuoa au kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nampambania hapaMpe au mmtaftie haraka tupunguze wazinzi mtaani. Mambo matatu hatupaswi kuyachelewsha moja wapo kuoa au kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo mkuu subra TU.Tengeneza katuni umpr sifa unazozitaka alaf muoe
et al
Super tallWewe ni futi ngapi?
Kwanza:Kuoa au kuolewaMpe au mmtaftie haraka tupunguze wazinzi mtaani. Mambo matatu hatupaswi kuyachelewsha moja wapo kuoa au kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nia njema tu.Nilitaka nikupe Dada yangu ana vigezo vingi tu lakini nina mashaka na kigezo chako cha tako tepetepe linalogawanyika.
Ngoja tumuombee tuu ampate hakuna namnahahhha hapa tushagalazwa nje kbsss hahahhha
Hahah JF banaNilitaka nikupe Dada yangu ana vigezo vingi tu lakini nina mashaka na kigezo chako cha tako tepetepe linalogawanyika.
HahahWadada wengi wa Kitanzania kimo chao ni 5' to 5'11" hivi...
Sasa huyo mnayemtaka sijui mna mpango wa kufungua timu ya netball au basketball mnatafuta center...
Wewe si ulisema umeolewa maana nilitaka nkuchumbie ukaniruka mita 100 Leo naniliii tena .................aki ya Nani maweeeAsante Mungu kwa ulivyoniumba ... Ngoja nipite kushotoo maana si kwa sifa hizi.... Alooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitaka nikupe Dada yangu ana vigezo vingi tu lakini nina mashaka na kigezo chako cha tako tepetepe linalogawanyika.
Hakuna subra kwa aliyekosa subra, amekosa uzalenda kuwaitWapo mkuu subra TU.
Hahahha umemaliza cjataka kumalizia kukwepa povuKwanza:Kuoa au kuolewa
Pili: Marehemu anapaswa aharakishwe kuzikwa
Tatu:..........
Katika dini yetu tukufu ya Kiislam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka nikupe Dada yangu ana vigezo vingi tu lakini nina mashaka na kigezo chako cha tako tepetepe linalogawanyika.
dogo nenda WNBA au check na Hasheem Thabeet akupe connections.VIGEZO VYA MANDHARI YAKE/MUONEKANO WAKE: 1.Awe mrefu kama futi 6 na nusu hadi 7' .