Wapendwa wana jamii forums, nasikitika week iliyopita wapendwa na watu wa mungu walijibu kichwa cha hapo juu na walinipa email address za watu ambao wanatafuta drivers kuwajiri.
Nikapewa email zao lakini sikuwahi kutuma maana hata cvsoft copy nilikuwa sina kwenye computer yangyu . Sasa leo nimepewa cv kwenye soft copy ili nitume naangalia zile contacts naona zimefutika.
Nawaomba samahani waungwana nipatieni tena zile contacts za watu wanaotaka kuajiri drivers
mdogo wangu alimaliza veta na chuo cha usafirishaji anaweza kuendesha magari makubwa na madogo.
Barikiweni