Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye hajui cha undugu wala nini, kikubwa moyo wake upo kwangu. Kiukwel najckia aibu kwa anavyofanya coz namuheshm sana. Na amejaribu kunywa sumu akaokolewa anadai eti kama cmtak atajiua. So nisaidien guyz me nataka TUHESHMIANE kma zaman yeye ni mdogo wangu. Pia me sitak kuwa ktk mahusiano kwasasa hata kama asngekuwa ndugu yangu! Help plz.