Nyaka-oneDada wa baba ni SHANGAZI. Huyo mme wa shangazi ni MJOMBA (UNCLE). Kwa hiyo hata huyo mdogo wake na mjomba nae nitamwita MJOMBA.
Nimekupa credit kwa majibu mazuri uliyotoa kwa ndugu aliependa kujua mdogo wa mjomba anaitwaje.
Inasikitisha sana kuona watu wengine wanatoa majibu ya ajabu na kufanya forum hii ni mahali pa kudhihaki na kuongea upuuzi.
Laiti wangelizingatia framework na formation ya JF kwamba ni ya great thinkers na kwamba hii ni sehemu ya kuelimishana wasingelikuwa wanaleta upuuzi wako. MTU anakurupuka tu na kutaja MTU bila sababu...Regina Lowassa kwani swali nilikuwa mke wa lowassa ni nani?
Iko haja yabkudeal na watu kama hawa na kublock visimu vyao vibovu!