Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Habari zenu!
Mdogo wake na mume wa dada wa baba yangu anaitwaje?

Hahahahahhahaahasa si tunamjua si
umuulize
mwenyewe
Weka picha yake labda wengine tunaweza kumtambua ndipo tukwambie anaitwaje. Vinginevyo si rahisi kwetu kujua jina lake.Habari zenu!