Mdogo wake Edward Lowassa, Bernard Lowassa afariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitali ya Aga Khan

Hivi kwenye hospitali nyingine wote wanapona, na Aga Khan ndio wengine wanakata.
 
Inatidha sana, ni kwakua tu humu hatujuani siajabu Kuna wengi wameondoka kwa matatizo ya kupumua.

Tuchukueni tahadhari kubwa, maji ya moto yenye tangawizi kali, limao na maganda yake, kitunguu maji na chumvi kidogo kunywa mara 3 kwa siku kikombe cha chai, asubuhi ukiwa unapiga mswaki tumia chumvi ukiweza kusukutua mdomo na ulimi kwa maji moto kama unahisi una dalili, chumvi kali kidogo meza ukimaliza kusukutua, inakatakata coronavirus kabisa

Ogopa vitu vyooote vya baridi, COVID-19 itakumaliza, eg soda baridi, bia, ice cream, maji baridi, AC ofisini au ya gari, oga na maji moto, ogopa kabisa all cold items.. Keep urself hot all the time ukihisi dalili, corona itakimbia
 
Huyu n ndugu wa familia ya mzee Edward ngoyai lowasa nasio mtoto wake.


Msichanganye hisia zenu na huu ugonjwa hili swala n la kitaaluna nasio mihemko.

Chukua tahadhari zote wengi humu mnapotosha watu eti mpaka fulan aseme share precaution zako watu Waz experience
 
Back
Top Bottom