Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kesi za Lissu zimeanza kuchukua sura ya Mama anayempiga mwanae kwa kumuonea hadi majirani waneamua kuja kumtetea mtoto ambaye sio wao.
Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi majirani huwa wanaamua kununua ugomvi kama mbwai inakuwa mbwai tu kwani nini!?
Inakubalika kama mzazi ni muonevu. Na uonevu ukizidi majirani huwa wanaamua kununua ugomvi kama mbwai inakuwa mbwai tu kwani nini!?