Msije mkamdanganya kuwa mtoto ni wake. Mtoto anayezaliwa na miezi saba atakuwa hajakomaa (premature au njiti). Kwa maelezo yako ni kwamba mtoto amezaliwa na afya njema. Hii ni kusema mimba ilitungwa kabla ya mwezi Desemba 2018 (kwa vyovyote vile ni mwezi Novemba au hata kabla). Huyo shemeji yenu aongee vizuri.
Ukisema ni wewe ndio yamekukuta kuna shida gani mkuu!?huendi mbinguni
Nakazia"Ni mwiko kurudiana na mwanamke ulieachana nae"
Siyo genye ila ni mapenzi. Kwa waliowahi kupenda wanajua huu mchezo maana hauhitaji hasira. Mnapoachana mwanamke huwa rahisi sana kuingia kwenye mapenzi mapya kwa kulipa kisasi au kujiliwaza huwa wana msemo wao "Ukiona cha kazi gani, wenzako wanauliza watakipata lini?, "Ukisusa wenzako wala" ila kwa sisi mameni huwa tunasema wanawake ni wale wale.Jamaa kasingiziwa kiboya sana. .ndio akome kuendekeza genye. .Daah aibu sana
Zamani hiyo mkuu. Pia inategemea na mazingira yake, hawa si wanandoa.Kitanda akizai haramu alee tu
Navyo fahamu kuanzia wiki 36 mtu anaweza jifungua japo inakuwa kachanga kwa hesabu za la 3B iyo mimba imefikisha 36 miezi ko uwezekano wa mtoto kuwa wa dogo upo na uwezekano wa sio wake upo yaani 50/50
alafu dogo aache janja janja mtoto wake huyo fanyeni kulea
Wanadai wataalamu mimba ya miezi 8 mtoto hawezi ishi. miezi 7 sawa tena anaitwa njitiMiaka ya nyuma mke wangu alinitembelea nikakaa nae kwa muda mwezi mzima, ndani ya huo mwezi tulipima mimba kama mara akawa hana, aliporudi dalili zikaanza akapima akawa ana mimba, ile mimba alikaa miezi 8 kama ya huyo wenu, hiyo mimba inaweza kuwa kabisa ni huyo mdogo wenu.
Huku ukuryani tuna msemo wa kitanda hakizai haramu.
Siyo genye ila ni mapenzi. Kwa waliowahi kupenda wanajua huu mchezo maana hauhitaji hasira. Mnapoachana mwanamke huwa rahisi sana kuingia kwenye mapenzi mapya kwa kulipa kisasi au kujiliwaza huwa wana msemo wao "Ukiona cha kazi gani, wenzako wanauliza watakipata lini?, "Ukisusa wenzako wala" ila kwa sisi mameni huwa tunasema wanawake ni wale wale.
Na watu mliokuwa mnapendana huwa kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudiana au kama hamjarudiana lazima mkumbushiane.
Ni ajali kama ajali zingine.
Yame kufanyaje mkuu ?
Hajakataa mimba jua hilo vzr, anachokataa muda wa kutungwa mimba na kuzaliwa mtoto mwenye afya(sio njiti).Sasa alipokuwa anadinyana bila kinga alitarajia wazungu watokao wanaenda kutengeneza mapapai?
mkuu wacha alee,tupunguze watoto wa mtaaniwiki ya 36 sawa ila huyu hajafika hiyo wiki. ukipiga hesabu vzr kuanzia Desemba 3 hadi July 1, hazifiki hizo wiki 36.
Hapo ni kweli mtoto si wa mdogo angu. Kama mdogo angu atarudisha Huruma basi alee mtoto ila ajue kabisa si wake, na ipo siku baba ake mtoto atakuja.Msije mkamdanganya kuwa mtoto ni wake. Mtoto anayezaliwa na miezi saba atakuwa hajakomaa (premature au njiti). Kwa maelezo yako ni kwamba mtoto amezaliwa na afya njema. Hii ni kusema mimba ilitungwa kabla ya mwezi Desemba 2018 (kwa vyovyote vile ni mwezi Novemba au hata kabla). Huyo shemeji yenu aongee vizuri.
Huoo uko wenu Inaonesha hamjitambui, mnakaa vikao Kujadili Watu ambao hawajaoana? Mmekosa kazi za kufanya!
Sidhani kama ni kweli, ila huwa wanahesabu wiki 36 ambazo Ukipiga kwa njia ya kawaida ni miezi 8.Wanadai wataalamu mimba ya miezi 8 mtoto hawezi ishi. miezi 7 sawa tena anaitwa njiti
Mwandishi ndio mtia mimba mwenyewe, anaandika huku ako na stress...