Mdigo mwoga balaa!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Msambaa mmoja aliomba lifti katika Fuso iliyokuwa imebeba sanduku tupu la kuzikia.akiwa safarini,mvua ikaanza kunyesha,msambaa akafunua sanduku akazama ndani,kisha akajifunika kujizuia na mvua.Hawakufika mbali,mdigo naye akaomba lifti.Mdigo alipopanda nyuma ya fuso,kuliona sanduku,alipata woga mkuu,akakaa nalo mbali kabisa akijua ndani kuna maiti.Mara baada ya mvua kukata,msambaa ndani ya sanduku alikohoa kidogo kisha akausukuma mfuniko wa sanduku ili atoke.Kilichotokea ni balaa.....Mdigo alijirusha nje akijuwa marehemu kafufuka,fuso nayo ilikuwa 120,mdigo mpaka leo hana meno ya barazani yani ana dental formula ya njiwa!
 
cjaelewa hapo nilipohilight
 
Sawa,hiyo Fuso ilikuwa inaenda spidi 120km/hour.
 
Spidi 120 imeathirika dental formular tu!!!! Nadhani alifikia mdomo.
 
Sawa,hiyo Fuso ilikuwa inaenda spidi 120km/hour.

hapo nimekuelewa mkuu, pia mdigo mwenyewe mi namfahamu, alilazwa hosptal ya bombo kwa wiki moja kwa sasa yuko fiti tu,japo hana reception mdomoni. umenikumbusha kwanjeka mkuu
 
yes,kwanjeka walikuwa majirani zangu nikiwa nasoma tanga tech!
 
Msambaa mmoja aliomba lifti katika Fuso iliyokuwa imebeba sanduku tupu la kuzikia.akiwa safarini,mvua ikaanza kunyesha,msambaa akafunua sanduku akazama ndani,kisha akajifunika kujizuia na mvua.Hawakufika mbali,mdigo naye akaomba lifti.Mdigo alipopanda nyuma ya fuso,kuliona sanduku,alipata woga mkuu,akakaa nalo mbali kabisa akijua ndani kuna maiti.Mara baada ya mvua kukata,msambaa ndani ya sanduku alikohoa kidogo kisha akausukuma mfuniko wa sanduku ili atoke.Kilichotokea ni balaa.....Mdigo alijirusha nje akijuwa marehemu kafufuka,fuso nayo ilikuwa 120,mdigo mpaka leo hana meno ya barazani yani ana dental formula ya njiwa!

Hahaahahaha duu, mdigo noma
 
Hahahaaaa, wakiwasikia wadigho! Mshambaa hana noma aishee! Kwa Njeka, Mikanjuni, na zile barabara, wakati nasoma Tanga Tech nilikua kwenye Mifugo, ndio nilikua mkamuaji, nilifaidi maziwa na pesa za bili kishenzi, mWAlimu gani mnamkumbuka? naskia kibao waliondolewa!
 
Well,mimi nimemaliza miaka ya juzi juzi but nadhani hata enzi zako mr.TETI(headmaster),the special one alikuwepo.
 
eti mdigo mzigo huo msemo ni wa kweli?

yawezekana kwani m2 ukimwita we mdigo nini, anaona umemtukana. na hakuna mdigo ambaye atakwambia yeye ni mdigo, utamjua ama kwa tabia zake ama kwa kuambiwa na wengine
 
Ugomvi huo na mimi siingilii,kazi kwenu wadigo na wasambaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom