Yaani nawe, hata ktk hili unawaza uzanzibar na utanganyika? Hata vifo pia? Kiimani, vifo vinapangwa na Mungu, mi siamini hivyo, ila kwa hoja zako, Kwanini usiamini ktk imani? Yaani unaangalia ukabila ama ukanda ktk vifo vya wanajeshi? Sijaipenda kabisa, kwa sasa tungezingatia kivipi tunaukomaza muungano wetu na kuzitatua changamoto zake, kwasasa kuwaza kuzidi kuwaza kuzikomaza nyufa ni ujinga uliokithiri. Tumesha changamana sana, tusizikomaze hizi itikadi za kihovyo. Samahani Mkuu.Mimi nna fikiri tofauti kidogo ..., na ninaingiwa na uwoga kidogo ..
Kwanza ninajiuliza swali la msingi kabisa, sielewi kwanini askari wetu wengi waliouawa ni Wazanzibari .. ?! Kama sikosei, ni askari 9 kati ya 14 waliouawa ni kutoka visiwani, sijui ni wangapi toja Pemba ama wangapi toka Unguja ...
La pili, katika mpangilio wa kijeshi, sidhani kama ni sahihi sana kuwalundika watu wa aina, kabila, dini moja katika kikosi kimoja ... Ni lazima kuna utaratibu fulani unafuatwa katika kuwapanga askari ili kuepuka ajali/makusudi/sabotage ya kuliumiza jeshi namna hii ..
Jambo hili la vifo vya wazanzibari askari vijana wengi namna hii ..., linatakiwa lipatiwe majibu na ma Jenerali wa JWTZ na sio UN peace force ....
Au wana JF tumeacha kufikiri siku hizi .... ?!
Can't we smell a rat in these killings ... ???!
Nafikiri hukunielewa ArD,Yaani nawe, hata ktk hili unawaza uzanzibar na utanganyika? Hata vifo pia? Kiimani, vifo vinapangwa na Mungu, mi siamini hivyo, ila kwa hoja zako, Kwanini usiamini ktk imani? Yaani unaangalia ukabila ama ukanda ktk vifo vya wanajeshi? Sijaipenda kabisa, kwa sasa tungezingatia kivipi tunaukomaza muungano wetu na kuzitatua changamoto zake, kwasasa kuwaza kuzidi kuwaza kuzikomaza nyufa ni ujinga uliokithiri. Tumesha changamana sana, tusizikomaze hizi itikadi za kihovyo. Samahani Mkuu.
Ungetuambia jumla askari waliopelekwa Congo ni wangapi na ikiwezekana utuambie na maeneo ambayo wametokeaMimi nna fikiri tofauti kidogo ..., na ninaingiwa na uwoga kidogo ..
Kwanza ninajiuliza swali la msingi kabisa, sielewi kwanini askari wetu wengi waliouawa ni Wazanzibari .. ?! Kama sikosei, ni askari 9 kati ya 14 waliouawa ni kutoka visiwani, sijui ni wangapi toja Pemba ama wangapi toka Unguja ...
La pili, katika mpangilio wa kijeshi, sidhani kama ni sahihi sana kuwalundika watu wa aina, kabila, dini moja katika kikosi kimoja ... Ni lazima kuna utaratibu fulani unafuatwa katika kuwapanga askari ili kuepuka ajali/makusudi/sabotage ya kuliumiza jeshi namna hii ..
Jambo hili la vifo vya wazanzibari askari vijana wengi namna hii ..., linatakiwa lipatiwe majibu na ma Jenerali wa JWTZ na sio UN peace force ....
Au wana JF tumeacha kufikiri siku hizi .... ?!
Can't we smell a rat in these killings ... ???!
Inatosha kujua kuwa waliokufa ni 14, na kati yao 9 wanatokea Zanzibar ..Ungetuambia jumla askari waliopelekwa Congo ni wangapi na ikiwezekana utuambie na maeneo ambayo wametokea
1.Kwa hiyo Tanzania ilikuwa na askari 32 tu ?Inatosha kujua kuwa waliokufa ni 14, na kati yao 9 wanatokea Zanzibar ..
Inakuwaje kikosi cha askari 32 ..., kuwa na watu wengi hivyo wanaotokea eneo moja kwa asili, ni hatari kwao na jeshi pia ...
Kwa uwiano wa idadi ya watu Visiwani na Bara (ZNZ 3 mil , Bara 46 mil) , askari toka Znz ktk kikosi hicho kimoja ingefaa wawe labda si zaidi ya wanne ...
Sasa hapo tujiulize, wazanzibari wengi hivyo ktk kikosi kimoja , ilikuwa ni upendeleo au mipango ya kuwapunguza, au ni nini ...? !
1. Inawezekana walikua zaidi ya 32 ..1.Kwa hiyo Tanzania ilikuwa na askari 32 tu ?
2.Wakati wanapelekwa ilijulikana kabisa watashambuliwa na watauliwa ?
Inaonekana huna taarifa za kutosha then unatoa shutuma unashindwa kuzithibitisha,kama unaogopa wazenji wasife ungewashauri wasijiunge na jeshi1. Inawezekana walikua zaidi ya 32 ..
2. Hao ni askari, kazi ya askari ni kuua au kuuawa wakati akilinda nchi yake ...
Sijatoa shutuma Belo, nimefikiri kwa sauti ..., usichukulie kila jambo poa poa tuu ...Inaonekana huna taarifa za kutosha then unatoa shutuma unashindwa kuzithibitisha,kama unaogopa wazenji wasife ungewashauri wasijiunge na jeshi
Kuna askari zaidi ya 40 wa Tanzania ambao wamejuriwa kwenye hilo shambulio
Ndo maana wengine twaona hii jumuiya ya kinafiq ya Afrika Mashariki bora ivunjike tu!Duh hawa waaasi kuna viongozi ukanda huu wa maziwa makuu kwa kushirikiana na wazungu ndiyo wadhamin wao
Upande wa adui walikufa 72 ingawa haikupatikana maiti hata mojaAjabu ninayoiona katika kadhia hii yote, ni kuwa hakuna mshambulizi hata mmoja aliyejeruhiwa na kutekwa! Au ni mimi sina habari?!
Hii ilikuwa kauli tu ya jeshi kuiaminisha nchi kuwa jeshi lipo imara zaidi lakini haikuwa hivyo walivamiwa na wenyewe walikuwa wamejisahauMkuu [HASHTAG]#bandamo[/HASHTAG], unaweza kunielewesha zaidi? Walikufa 72 na haikuonekana maiti hata moja! Hiyo 72 imepatikanaje kama haikuonekana maiti hata moja?
ujiulize na nani?.mbona walipokuwa wakichukua mishahara kwamba wamekubali wao ni nyama ya risasi hukusema hukusema tujiulize? huu si wakati wa kutafuta mchawi ni wakati wa Maombolezo acha tuwaomboleze mashujaa wetu, tukimaliza twende tukalipize kisasi kwa kishindo hadi dunia ijue ili iwe funzo kwa yeyote atakaye tubip..Inatosha kujua kuwa waliokufa ni 14, na kati yao 9 wanatokea Zanzibar ..
Inakuwaje kikosi cha askari 32 ..., kuwa na watu wengi hivyo wanaotokea eneo moja kwa asili, ni hatari kwao na jeshi pia ...
Kwa uwiano wa idadi ya watu Visiwani na Bara (ZNZ 3 mil , Bara 46 mil) , askari toka Znz ktk kikosi hicho kimoja ingefaa wawe labda si zaidi ya wanne ...
Sasa hapo tujiulize, wazanzibari wengi hivyo ktk kikosi kimoja , ilikuwa ni upendeleo au mipango ya kuwapunguza, au ni nini ...? !
Waliuawa zaidi ya Arobaini ila maiti zao hazikupatikana ina maana waligadi wakati wakiziondoa zile maiti,pia uwezo huo Si wa muasi Wa ADF anae zurura kila siku kutafuta msaada wa silaha huo ni uwezo wa askari aliekomaa kila idara ya vita na weledi wa......Ajabu ninayoiona katika kadhia hii yote, ni kuwa hakuna mshambulizi hata mmoja aliyejeruhiwa na kutekwa! Au ni mimi sina habari?!
TrurBila kupepesa maneno tunajua Ni KAGAME
Hujamwelewa, yuko sahihi,Yaani nawe, hata ktk hili unawaza uzanzibar na utanganyika? Hata vifo pia? Kiimani, vifo vinapangwa na Mungu, mi siamini hivyo, ila kwa hoja zako, Kwanini usiamini ktk imani? Yaani unaangalia ukabila ama ukanda ktk vifo vya wanajeshi? Sijaipenda kabisa, kwa sasa tungezingatia kivipi tunaukomaza muungano wetu na kuzitatua changamoto zake, kwasasa kuwaza kuzidi kuwaza kuzikomaza nyufa ni ujinga uliokithiri. Tumesha changamana sana, tusizikomaze hizi itikadi za kihovyo. Samahani Mkuu.
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikifatilia sana kuhusu hawa jamaa wanaojiita waasi wa ADF. Nimeshindwa kupata jibu ni nani anawafadhili kipesa na siraha. Kama Museveni ni adui wao, Rwanda ni adui wao, Congo ni adui wao na hata Tanzania ndo wametufanyia mbaya. Je, ni nani yuko nyuma yao? haiwezekani wakawa wana survive porini na wakati wamezungukwa na maadui kila kona. kuna mambo yaliyojificha na hatuyajui.