Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,060
- 23,941
Tusi langu nimeliifaziKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Tusi langu nimeliifaziKama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
N kesi ngap mahakama hii inaamua hv na mahakama ile inaamua vile???Mahakama zipi mkuu? Baba levo alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kule kigoma leo mahakama hiyo hiyo imetengua hukumu na kusema haikuwa ya haki, unadhani Lisu jinsi alivyotaka kuuwawa hizi mahakama zikimuhukumu kwa hila kuna hakimu atatengua hukumu hiyo?
Mmwage damu kwa Mara ya pili .Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Mna kazi kubwa ya kupotosha kwa sababu mafanikio ya Serikali ya awamu ya 5 hayajifichi. Endeleeni na umangi meza wenu lakini Watanzania sio wajinga. Hapa Kazi Tu!Najisikia kukujibu ila naona utaharibu siku yangu
yupo hilo husibishe ...Kuna Rais duniani asiyetembea na ulinzi?
hivi Wapinzani mmeishiwa kabisa hoja?
Punguza MAHABA ya kinafiki Mkuu, hoja kuu hapo ni usalama wake. Anaitaka serikali hii ya KI-IMLA imuhakikishie usalama wake pindi atakaporejea nchini. Basi.Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Tangu Lissu atwangwe risasi nchi hii imetulia na matusi na kejeli vimeisha. Adabu imetawala. Wote waliokuwa wanaiga matusi na kejeli za Lissu (mfano Halima Mdee, Lema, Msigwa na Sugu) wameufyata. Nakile kijamaa cha Songwe pia. Hivyo bila kuungua mkia paka hatoki jikoni.kumtawnga mtu risasi hadharani na kisha mkazuia poilisi wasifanye lolote ,ni zaidi ya wanyama,kumbukeni na nyinyi ipo kesho yenu
Arudi apambane na Mahakama au arudi apambane na risasi...?..Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Mkuu uhuru wa kujieleza ndio chachu ya maendeleo katika nchi yoyote ile.Tangu Lissu atwangwe risasi nchi hii imetulia na matusi na kejeli vimeisha. Adabu imetawala. Wote waliokuwa wanaiga matusi na kejeli za Lissu (mfano Halima Mdee, Lema, Msigwa na Sugu) wameufyata. Nakile kijamaa cha Songwe pia. Hivyo bila kuungua mkia paka hatoki jikoni.
Hii tabia ya matusi ilikuwa inaelekea kuwa kitu cha kawaida hata mitaani. Sasa nidhamu ya Mtanzania imetamalaki. Lissu uliponzwa na utovu wa nidhamu sasa wewe ni kilema mpaka kufa. Haya maneno ya kukushabikia mitandaoni haikusaidii tena - you haven't accomplished any of your dreams! In short Lissu umekwisha. Na hutarudi Tanzania utakuwa unaisikia kwenye mitandao. Pole sana.
Wakumbuke kuwa wanaweka hakiba ya maneno sio wanaropoka alafu hayo maneno yanaanza kuwakosesha amani na kuisingizia serikali!Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Je, ingekuwa amefariki katika tukio lile, hiyo kesho angeikumbukaje? Be llogical!Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Tangu Lissu atwangwe risasi nchi hii imetulia na matusi na kejeli vimeisha. Adabu imetawala. Wote waliokuwa wanaiga matusi na kejeli za Lissu (mfano Halima Mdee, Lema, Msigwa na Sugu) wameufyata. Nakile kijamaa cha Songwe pia. Hivyo bila kuungua mkia paka hatoki jikoni.
Hii tabia ya matusi ilikuwa inaelekea kuwa kitu cha kawaida hata mitaani. Sasa nidhamu ya Mtanzania imetamalaki. Lissu uliponzwa na utovu wa nidhamu sasa wewe ni kilema mpaka kufa. Haya maneno ya kukushabikia mitandaoni haikusaidii tena - you haven't accomplished any of your dreams! In short Lissu umekwisha. Na hutarudi Tanzania utakuwa unaisikia kwenye mitandao. Pole sana.
Inachafuliwa na ma ccmTanzania ni salama
Nchi namba moja kwa amani Africa
Tuache kuichafua Nchi yetu
Hamjatosheka tu na damu za watu nyie mapimbi?Wanaotaka kumuua ni Chadema wenyewe baada ya kulifahamu hilo sasa yale matusi yake kwa Serikali na wananchi wa Tanzania yamemponza anaona aibu. Watanzania ni wema sana hawana kinyongo arudi tu aendelee na Maisha yake. Ujanja ujanja wa kupayuka hovyo umemponza.