Kauli ya kwanza ya Mdee baada ya rufaa yao kutupiliwa rasmi na kupoteza sifa ya kuendelea kuwakilisha Chadema Kama mbunge kupitia viti maalumu Ina mashiko gani? Nani anastahili kuitwa mhuni?
Tuhuma dhidi yao Ni kughushi na kujitangaza kuwa wabunge. Chadema wamefuata taratibu zote kumuandikia spika na hatimaye Sasa wamehitimisha kwa kuondolewa kwa kura. Pendekezo lao la kuomba kura zipigwe lilifuatwa baada ya wao kukataa kuomba msamaha. Sasa hapa uhuni wa Chadema ni nini?
Chadema kwa ft hili, litabaki kuwa ni chama kinachoheshimika.
View attachment 2221223