Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Huyu dada nampenda kwa ujasili wake ananitamanisha na mimi niingie kwenye siasa.Asema CCM bado wanazani Watanzania bado wako na fikra za ki-analojia ambapo huwa ni vigumu kupima wapi ni 0 na wapi ni 1. Asisitiza hakuna nidhamu ya kinafiki bungeni. Kama jambo lina status ya 0(siyo) na litamkwe siyo, kama lina status ya 1(ndiyo) na litamkwe ndiyo.
Tusubiri ushahidi wa Mh. Lema.
source: Majira
Hayo mambo ya kulindana na heshima za kinafiki ndo yametufikisha hapa tulipo. HAYO MAZEE YA CCM NAOMBA NIYAFANANISHE NA MASHETANImdee tuko nyuma yako uko sahihi kabisaaa hiyo mizee ya ccm minafiki saaana tu inapenda kutukuzwa na kusifiwa tu hata km yanaibaa
kizazi cha mashoga na wasagaji nadhani ndio alikuwa anamaanisha.
Bega kwa bega ndiyo mtindo wa kisasa!hata mhayati kenyatta wa kenya alisisitiza hilo kwa nguvu zake zote!tusiwe nyuma yake!!mdee tuko nyuma yako uko sahihi kabisaaa hiyo mizee ya ccm minafiki saaana tu inapenda kutukuzwa na kusifiwa tu hata km yanaibaa
precisely!sister yupo vizuri!!Huyu dada nampenda kwa ujasili wake ananitamanisha na mimi niingie kwenye siasa.
CCM bado wanatumia santuri, wengine tupo na blu ray.