Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,642
- 21,266
Halafu you call yourself a "Consultant" Consultant my d**k...
Habari yako Anselm. Kwa kuwa sihitaji kuwa banned kwa sasa, I will let this pass. Back to the topic.
Halafu you call yourself a "Consultant" Consultant my d**k...
Kwenye barua yake kwenda kwa uongozi wa juu wa gazeti la mwananchi, hii ni sehemu ya barua yake.
Nasikitika kutumia nafasi hii kukuandikia kukutaarifu kuwa gazeti lako la Mwananchi la Julai 23, 2012, katika habari yake iliyoongoza ukurasa wa kwanza (lead story) limenilisha maneno na kunikuu isivyo sahihi.
Katika habari hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho "Wabunge wamsafishia Zitto njia ya urais 2015," gazeti lako limeandika hivi "Mdee aliyepewa nafasi ya kuwasalimia wananchi alisema amekuwa na Zitto tangu Chuo kikuu cha Dar es Salaam na kwamba kutokana na ujasiri na umahiri wake katika kutetea masilahi ya wanyonge na taifa, anafaa kuwa mmoja wa viongozi wa juu katika Taifa."
Gazeti lako pia katika aya iliyofuata limenukuu kuwa mimi nimesema;
*"Ndugu zangu watu wa Kigoma, kwa kweli mna bahati sana, achilia mbali kuwa na vipaji katika sanaa ya muziki na michezo hasa mpira wa miguu, lakini mna wanasiasa wakali ambao ni tishio hapa nchini. Mimi namkubali sana Zitto Kabwe na ninaamini kuna siku atakuwa kiongozi wa juu katika nchi yetu," alisema Mdee"
Nasikitika kusema kuwa gazeti lako limeandika habari zisizo za kweli kwa kunilisha *maneno na kudai kuwa mimi ndiye nimesema maneno hayo, kisha kuyaweka kwenye nukuu, likisema kuwa ni nukuu yangu. Sijajua nia au kusudio la gazeti lako kuamua kupotosha ukweli na kushindwa kabisa kuninukuu kwa usahihi, kama inavyotakiwa katika misingi ya taaluma ya habari.
Nasikitika pia kusema kuwa gazeti lako ambalo limeonekana kujijengea heshima miongoni mwa wasomaji wa kada mbalimbali nchini na hivyo linapaswa kuwa mfano wa kuigwa, linaweza kusigina misingi ya uandishi wa habari na hususan katika kufuata maadili ya taaluma hii muhimu, kwa kiwango cha kufanya moja ya dhambi kubwa ya kukilisha maneno chanzo cha habari.
Kwa ajili ya kutunza heshima ya gazeti lako, lakini pia kwa ajili ya maslahi mapana ya taaluma ya habari na jamii ya Watanzania, nakuandikia kulitaka gazeti lako likanushe maneno liliyoninukuu katika toleo hilo la Julai 23, 2012. Ni vyema sana hilo likafanyika kwa uzito unaostahili kama ilivyoandikwa katika toleo hilo.
Habari hiyo imeniletea usumbufu mkubwa hasa kwa wanachama wa chama changu, CHADEMA, ambao wanajua kuwa chama chao makini ni mahiri katika kufuata katiba, kanuni na taratibu katika kuendesha mambo yake kwa manufaa ya watu wote. Napenda kuwa mmoja wa Watanzania makini na viongozi wanaojua wajibu, ikiwemo kufanya nini na kusema nini, mahali gani na wakati gani.
Nakutakia utekelezaji mwema katika hilo.
*

zitto yeye anaamini mwananchi na raia mwema ndio magazeti pekee yenye habari huru Tanzania,,,kisa yanamwandika kama anavyotaka, kajamaa hakana tofaouti na Lyatonga! KIGOMA ALL STARS OYEEE!!
nassari na mdee wakiletewa mkanda unao onyesha wakiyatamka hayo wanayoyakana watakubali?
Hivi hayo maneno yana ubaya gani hadi yakanushwe? Kwani mtu akisema Zitto anafaa kuwa kiongozi wa nchi kuna ubaya gani? Ningekuwa mimi Mdee wala nisingehangaika kukanusha kwa kuwa hakuna neno ovu wala tusi hapo. Lakini kwa kuwa kuuongelea Urais ndani ya CDM hasa ukihusishwa na Zitto ni taboo basi naona akina Mdee wamebanwa mbavu hadi wanakanusha.
Pia wafuasiwa chadema ni lazima wajue Urais 2015 ni mchakato na kila mtu anaruhusiwa kugombea.Let us be focused.
Pia Mwananchi ilivyoripotio iliripoti kama vile ni endorsement. Nilifikia hatua kuandika.....
Hata kama Mdee hakusema lakini naamini ndani ya moyo wake hayo ndio maoni yake.
Jana nilijaribu kusoma alichoandika Mheshimiwa Nassari kuhusu hili swala nikashindwa kabisa kumuelewa, maana ilikuwa ni mchanganyiko wa malalamiko na hotuba isiyo na background wala mpangilio. Wabunge mnaoweza kujieleza, kina Halima, jamani muwe mnabadilishana na wenzenu drafts za documents zenu kabla hazijaenda public ili kusahihishana na wengine ambao huwa wanavurunda vitu kama hivi.Kwenye barua yake kwenda kwa uongozi wa juu wa gazeti la mwananchi, hii ni sehemu ya barua yake.
Nasikitika kutumia nafasi hii kukuandikia kukutaarifu kuwa gazeti lako la Mwananchi la Julai 23, 2012, katika habari yake iliyoongoza ukurasa wa kwanza (lead story) limenilisha maneno na kunikuu isivyo sahihi.
Katika habari hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho "Wabunge wamsafishia Zitto njia ya urais 2015," gazeti lako limeandika hivi "Mdee aliyepewa nafasi ya kuwasalimia wananchi alisema amekuwa na Zitto tangu Chuo kikuu cha Dar es Salaam na kwamba kutokana na ujasiri na umahiri wake katika kutetea masilahi ya wanyonge na taifa, anafaa kuwa mmoja wa viongozi wa juu katika Taifa."
Gazeti lako pia katika aya iliyofuata limenukuu kuwa mimi nimesema;
*"Ndugu zangu watu wa Kigoma, kwa kweli mna bahati sana, achilia mbali kuwa na vipaji katika sanaa ya muziki na michezo hasa mpira wa miguu, lakini mna wanasiasa wakali ambao ni tishio hapa nchini. Mimi namkubali sana Zitto Kabwe na ninaamini kuna siku atakuwa kiongozi wa juu katika nchi yetu," alisema Mdee"
Nasikitika kusema kuwa gazeti lako limeandika habari zisizo za kweli kwa kunilisha *maneno na kudai kuwa mimi ndiye nimesema maneno hayo, kisha kuyaweka kwenye nukuu, likisema kuwa ni nukuu yangu. Sijajua nia au kusudio la gazeti lako kuamua kupotosha ukweli na kushindwa kabisa kuninukuu kwa usahihi, kama inavyotakiwa katika misingi ya taaluma ya habari.
Nasikitika pia kusema kuwa gazeti lako ambalo limeonekana kujijengea heshima miongoni mwa wasomaji wa kada mbalimbali nchini na hivyo linapaswa kuwa mfano wa kuigwa, linaweza kusigina misingi ya uandishi wa habari na hususan katika kufuata maadili ya taaluma hii muhimu, kwa kiwango cha kufanya moja ya dhambi kubwa ya kukilisha maneno chanzo cha habari.
Kwa ajili ya kutunza heshima ya gazeti lako, lakini pia kwa ajili ya maslahi mapana ya taaluma ya habari na jamii ya Watanzania, nakuandikia kulitaka gazeti lako likanushe maneno liliyoninukuu katika toleo hilo la Julai 23, 2012. Ni vyema sana hilo likafanyika kwa uzito unaostahili kama ilivyoandikwa katika toleo hilo.
Habari hiyo imeniletea usumbufu mkubwa hasa kwa wanachama wa chama changu, CHADEMA, ambao wanajua kuwa chama chao makini ni mahiri katika kufuata katiba, kanuni na taratibu katika kuendesha mambo yake kwa manufaa ya watu wote. Napenda kuwa mmoja wa Watanzania makini na viongozi wanaojua wajibu, ikiwemo kufanya nini na kusema nini, mahali gani na wakati gani.
Nakutakia utekelezaji mwema katika hilo.
*
Are you serious? ishu ni kwamba Mdee hakuyasema hayo maneno. Swala la Mdee ku'believe zitto, that is another case.Mimi sioni shida ya haya maneno..ila hii ni ishara ya watu kutomwamini Zito..kwani hata kama hakuyasema haya maneno and she believe Zito anaweza kunahaja gani ya kuomba gazeti kukanusha.. Nimeanza kujijazia majibu yangu mwenyewe kwa hili..
Hivi hayo maneno yana ubaya gani hadi yakanushwe? Kwani mtu akisema Zitto anafaa kuwa kiongozi wa nchi kuna ubaya gani? Ningekuwa mimi Mdee wala nisingehangaika kukanusha kwa kuwa hakuna neno ovu wala tusi hapo. Lakini kwa kuwa kuuongelea Urais ndani ya CDM hasa ukihusishwa na Zitto ni taboo basi naona akina Mdee wamebanwa mbavu hadi wanakanusha.
Hata kama Mdee hakusema lakini naamini ndani ya moyo wake hayo ndio maoni yake.
Jana nilijaribu kusoma alichoandika Mheshimiwa Nassari kuhusu hili swala nikashindwa kabisa kumuelewa, maana ilikuwa ni mchanganyiko wa malalamiko na hotuba isiyo na background wala mpangilio. Wabunge mnaoweza kujieleza, kina Halima, jamani muwe mnabadilishana na wenzenu drafts za documents zenu kabla hazijaenda public ili kusahihishana na wengine ambao huwa wanavurunda vitu kama hivi.
CCM ishajipenyeza hukoSiamini gazeti ninaloliaminia kwa habari za ukweli kabisa leo hii ninaanza kupotea njia....