Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,061
- 25,141
Mwananchi ni gazeti nililokuwa naheshimuwa sana, lakini tangu waombe radhi Member baada ya mwaka mzima, na halafu hii ya Zito, nadhani sasa hivi Tanzania hamna gazeti la kuosma tena. je hayo ni matokeoa ya kubadilisha uongozi wa juu? Kwamba yule aliyekuwa anatunza maadili ya habari kaondoka na sasa aliyepo ni mipigia watu madebe tu. In any case kwa Mwananchi mimi sasa I am OUT!!
...............................
..........nimefuta line ya mwisho baada ya kusoma post moja ya Semtawa ( Nitatafiti kuhusu makala za Semtawa pale Mwananchi)
...............................
..........nimefuta line ya mwisho baada ya kusoma post moja ya Semtawa ( Nitatafiti kuhusu makala za Semtawa pale Mwananchi)