donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kama Kitimoto vile
Kama Kawa mkuu tukitoka tuna burn zotecholestorel tupu hapo
Mweh?Inaleta mimba hiyo, acha tu
Ndo yenyeweKama Kitimoto vile
Bwana misosi siku hizi umepunguza kula? Sioni nyuzi
Nimecheka kwanguvu mpaka watu wamenishangaa,๐๐Inaleta mimba hiyo, acha tu
Muulize yuko wapi ukaribie, hujachelewa badoPumbavu kabisa MI nmelala njaa af we unapost mavyakula. [emoji16][emoji16][emoji16]
Niameasi intelligence mkuuHuyu jamaa yeye ni kula na pombe tu, sionagi nyuzi za aina nyingine[emoji3][emoji3][emoji3]