Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Mkubwa,
KUMEKUCHA TENA.
NIPe ripoti mipango inaendaje...
Natambua kuwableo ndio siku maalum ya kumpumzisha baba yetu mahala pa salama, nazidi kumsihi Mungu alisimamie suala hili mkamalize salama.
Naamini utatujuza maendeleo.

Kila la heri mkubwa.
 
Mods hawajautendea haki huu uzi kwa kuuleta jukwaa la sport! Hili ni jambo la mahusiano na msiba sio wa club bali ni member mwenye jina linalofanana na club!

Pole sana Kiongozi kwa msiba!
 
mkuu pole sana kwako, shemeji , watoto na familia kwa ujumla. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema. Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…