Mdai na mdaiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdai na mdaiwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Jul 10, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mdai (Lender): “Leo sikubali, ni lazima unipe hela yangu, lasivyo patachimbika hapa..”
  Mdaiwa (Payer): “Bora nife tu kwa kujiua ili niepukane na deni lako”. Mdaiwa akachukua kisu na kujichoma nacho- akafa. Kuona vile, Mdai akatabasamu na kusema;
  Mdai (Lender): “Hee!! unadhani utaondoka na pesa yangu kirahisi hivyo, una masihara kweli”. Nae Mdai akachukua kisu na kujiua. Pembeni kwa mbali palikuwa na jamaa mwingine ambaye alikuwa anafuatilia malumbano hayo, alicheka sana na kusema.. “Hawa jamaa wapumbavu kweli, nami lazima nione mwisho wa ugomvi wao ni upi..”. Nae akachukua kisu na kujichoma nacho, pia akafa.
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa wa tatu alikua mbeya..
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu wote maboya
   
 4. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mkuu exellent umevunja mbavu na na naniii ha ha ha
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kibwebwe na mimi najichoma nione kinachoendelea
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hehe! thanx for making my desert after lunch mmmua!
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  sakapal tujichome na sisi tuone kinachoendelea
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. conveter

  conveter Senior Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyo mdai ni noma,he will follow what is rightfully his to the grave.
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hataki kuachia jasho lake
   
 10. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,361
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Mdai wa aina hiyo hatorokwi kamwe, yaani anafuata hadi kuzimu. Na huyo mbea wa kushuhudia magonvi ya watu shida tu.
   
 11. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  duh! hii imetulia, ila kaka nakushauri utoe kitabu cha vichekesho utauza sana, coz talent huwa haimlazi mtu njaa (angalia shigongo kwenye hadithi, nature kwenye rap, cheka kwenye ngumi n.k)
   
 12. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Nimejichoma kisu sasa hivi nashuhudia ngumi kati ya mdai na mdaiwa, ila namuona huyu wa tatu sujui ni yule shuhuda wa hiki kisa anashangilia ile kinoma
   
 13. manumbu1

  manumbu1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  huyo namba 3 sio mmbeya ila ni mwandishi wa habari
   
 14. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  kwahiyo unaangalia show bila kiingilio
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu umetisha,usikute na camera yake
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Kaka ndo ninachokiwaza i hope nikitoa kitabu itauzika
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  heri kujichoma tu,maana kama umejiua halafu anakufuata walipokuwa wanaishi ikwaje,jamaa alishamchoka ingawa kweli dawa ya deni kulipa
   
 18. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona sikuoni?.....alaa nakuona sasa. basi njoo upande huu tushangilie pamoja.!
   
Loading...