Mdahalo wa UDA Live on Star TV: Updates

Kabla Halmashauri ya Dar ndio ilikuwa majority share holder (ambae hawajahi kuingiza pesa) na serikali pia haijawekeza pesa kufanya iendeshwe kwa hasara na kuuza asset moja baada ya nyingine ndio maana serikali itafuta mwekezaji ili awe majority share holder na kuendesha UDA kwa faida
 
Meya hayupo, mdahalo umeanza, robert kisena anamwaga uongo, anasema yuko na nyaraka zote, anasema atatoa rulingg ya mahama baaa ya mdahalo, lets wait and see
 
ARobert Kisena anasema UDA haijauzwa zilizouzwa ni HISA za UDA....vituko!
 
Ofisi ya Waziri Mkuu ilisitisha uuzaji wa UDA wakati UDA imeshauzwa, Barua ilifika wakati imepitwa na wakati na Simon Group hawakuandikiwa barua hiyo..., Na maneno aliyosema Zitto hakufanya research - Kisena
 
walipoingia kina Kisena kuliwa na Hisa 49 ambazo hazikuwa allocated; kina Kisena wakaangalia kama wanaweza wakalibadilisha UDA na kufanya liwe bora kwa wananchi (wakatafuta wanasheria na wataalamu kuhusu UDA).

Wanasheria wakawaambia kwamba kisheria wanaweza kununua HISA Kisheria,
 
Simon Group imelipa HISA zote ilivyotakiwa kulipa (na mkataba upo wazi kabisa) wameshalipa zaidi ya 57% ya HISA zote na watamaliza kulipa miezi 15 kabla ya mkataba unavyosema
 
Kuna pesa imelipwa katika akaunti binafsi unasemaje? >> sasa Kisena anjikanyaga mbaya
 
Kuhusu pesa zilizoenda kwenye account binafsi (Simba) Kisena anasema ni kweli,

kwamba UDA walisema kwamba ni lazima kama nyie simon group mpo serious muonyeshe commitment kwa UDA sababu wawekezaji wengine walikuwa wanaingia mitini kwahiyo toeni pesa kwenye hii Account binafsi sababu account ya UDA ina overdraft na mkishindwa mbele ya safari tutakata makato yetu na kuwarudishia baadhi ya fedha
 
Back
Top Bottom