Mdahalo wa katiba balaa, ITV kufungiwa?

Mdahalo wa katiba balaa, ITV kufungiwa?

TCRA HAIWEZI KUIFUNGIA ITV,KAMA WATAJARIBU WATAUONA MOTO SISI NDIO TULIOOMBA ITV NA TUMEILIPA KWA HIYO ITV ILIKUWA INAFANYA BIASHARA NA SIO SIASA

WAO WAENDELEE KUIBEBA TBC KWA KUIPA RUZUKU NA KUIRUHUSU ICHUKUE MATANGAZO YA ITV MWISHO WAO UNAKUJa
Mdahalo huo utakuwa lini? Hata hivyo nashukuru kwa ufafanuzi.
 
wameshindwa kesi ambayo hata darasa la saba angeshinda ya Dowans ndio itakuwa hii ya kujiingiza wenyewe kwa ujinga wa akina Lusinde! Wanajua pesa watakayolipa kama damages wakishindwa kesi haitoki mifukoni mwao ndio maana wanataka kuwatia wananchi hasara nyingine ya kuja kuwalipa ITV baada ya kesi
 
wanjaribu kudaiveti attention ya ule ufisadi wao wa bilioni zaidi ya tatu walizotumia 'kusomesha' watumishi wasiozidi watatu nje ya nchi. wapumbavu tu hao
 
TCRA HAIWEZI KUIFUNGIA ITV,KAMA WATAJARIBU WATAUONA MOTO SISI NDIO TULIOOMBA ITV NA TUMEILIPA KWA HIYO ITV ILIKUWA INAFANYA BIASHARA NA SIO SIASA

WAO WAENDELEE KUIBEBA TBC KWA KUIPA RUZUKU NA KUIRUHUSU ICHUKUE MATANGAZO YA ITV MWISHO WAO UNAKUJa

haya maandishi yako huwezi kuyafanya madogo yakaeleweka .... upupu ni upupu hata ukiandikwa kwa caps latter na hii signature yako
""KAMA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA BASI CCM NI CHAMA CHA KIISLAM"

nini klinachokufanya ukasema CCM chama cha kiislam! mwanzo mlikuwa mkisema CUF tuwaelewe vipi Ninyi CDM.... na kuhusu mjadala wa ITV bosi si mchaga mwenzenu.. mzee mengi what did u expect !!


 
Habari za kutoka ndani ya Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) nilikokua leo, zinasema kwamba tume hiyo imeitaka ITV kujitetea kwanini isichukuliwe hatua za kisheria kwa kuonyesha LIVE mdahalo wa katiba uliohusisha wanaharakati na wanasheria wa Jukwaa la Katiba.

Mataa ko yao hao sisiem!
 
TCRA ni mzigo usio wa lazima unaomwelemea mwananchi na naombea mabadiliko ya serikali ili dude hili lifutiliwe mbali. Makampuni ya simu yanawaibia wateja wao hawana habari, wananadi eti gharama ni sh. 1 kwa sekunde wakati ni sh. 5 hadi sita wao bado wako chooni wakiharisha rushwa waliyovimbishwa. Hawafai hawahitajiki na wakafie mbali. Ni amshetani na mafisadi kama CCM.
 
Wanataka watu wasahau kashfa inayowakabili hawana Lolote.
Kazi kula fedha ya mamlaka kila siku
 
Jamani huyu Mkwerre tuliambiwa leo anapiga porojo na wazee wa CCM wa mkowa wa DSM saa kumi jioni hii, mbona kimya? mwenye updates atujuze, au ndio za mbayuwayu kachanganya na zakwake kaingia mitini?
Samani mwenye hii thread nimeomba lifti tu kwenye thread yako, sina tabia ya kuanzishaga thread bila sababu za msingi.
 


haya maandishi yako huwezi kuyafanya madogo yakaeleweka .... upupu ni upupu hata ukiandikwa kwa caps latter na hii signature yako
""KAMA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA BASI CCM NI CHAMA CHA KIISLAM"

nini klinachokufanya ukasema CCM chama cha kiislam! mwanzo mlikuwa mkisema CUF tuwaelewe vipi Ninyi CDM.... na kuhusu mjadala wa ITV bosi si mchaga mwenzenu.. mzee mengi what did u expect !!




Umeacha hoja iliyoko mezani umekimbilia maandishi ya capital leta, ooh mara signature, kama unatumia ubongo kuona na macho yafanyeje sasa!!? acha macho yaone afu ubongo uchambue ukweli wa kilichooonekana, hayo ndo matumizi sahihi ya ubongo!
 
Tuwapigieni magoti jamani na tuwaombe ili wakaharakishe kukifungia ITV,unajua hawa jamaa ni majuha kwelikweli,nafikiri sasa watafungia hata kivuko cha ferry endapo siku moja wanaharakati watapanda pantoni kwenda kigamboni ama Mv.Victoria siku wakienda Bukoba

Kweli nimeamini mbwa akikaribia kufa huwa mreeefu kupindukia,hawa nao wako karibuni kupotea hapa duniani
 


haya maandishi yako huwezi kuyafanya madogo yakaeleweka .... upupu ni upupu hata ukiandikwa kwa caps latter na hii signature yako
""KAMA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA BASI CCM NI CHAMA CHA KIISLAM"

nini klinachokufanya ukasema CCM chama cha kiislam! mwanzo mlikuwa mkisema CUF tuwaelewe vipi Ninyi CDM.... na kuhusu mjadala wa ITV bosi si mchaga mwenzenu.. mzee mengi what did u expect !!


Eti kama vipi nipotezeee!!!! wewe umepotezea? OUT OF POINT MKUU
 
I hope huyo Dr wa TCRA ana PhD ya ukweli. Kama akiamua kujiingiza kwenye taarabu ya CCM, akumbuke sasa hivi watanzania wanancheza muziki tofauti kabisa ambao unawashangaza na kuwashinda CCM kuucheza. Vitu vidogo vinaweza kuwa na madhara makubwa kwa jamii. Wanapofanya vitu vya kijinga ndipo wanawapa watanzania mwanya wa kutafakari. Hivyo nawashauri wenyewe waendelee kufanya hivyo vitu vya kijinga tu ila wakumbuke wakati wa revolution Misri, wananchi walikwenda moja kwa moja kwenye mamlaka za kurusha matangazo. Wanajua kilichotokea, I hope Dr. Mkoma hatakuwa tayari ku-experience nguvu ya umma, hata hivyo itategemeana na uamuzi wake.
 
Back
Top Bottom