inafurahisha sana lowasa kukimbia mdahalo.
nadhani anaogopa atashindwa simama zaidi ya 30 minutes
Wananchi wanachohitaji ni maendeo na siyo midahalo,kama Jk na wenzake mwaka 2010 walikacha midahalo na wakaweza kushinda hata wagombea wa UKAWA watashinda pasipo kuhudhuria mdahalo hata mmoja kwa kuwa wananchi tunawaamini kwa kuwa wanaweza.
Kama ni suala la kusikia sera zao kila siku tunazisikia na tunauhakika nazo,midahalo tumemuachia Magufuli na CCM wenzake kwa kuwa hawana imani na sera zao.
hivi mwaka 2005 na 2010 wakina nani walikimbia mdahalo na kwasasa kwann wanataka kisa mzee ni wa vitendo sio wa kuongea sana
Tunataka mdahalo wa kina kuhusu masuala kitaifa tujue jinsi gani tutakaowapa dhamana wataendesha nchi
yetu , jinsi gani ilani zao zitatekelezwa, utamaduni huu ujengeke kwenye chaguzi zetu , tena sio tu kati ya wagombea urais wa vyama vya siasa , bali pia ndani ya vyama wakati wa mchujo (a.k.a kukatwa) , kama wenzetu wenye demokrasia imara wanavyofanya , wataokaoshiriki ndio tutawapima na ndio tukaowachagua , wasioshiriki midahalo inaashiria hawajiamini na sera zao hazitekelezeki, nachelea kusema ni "wasanii wa kisiasa"! Hatutawamini bila kuwapima , jaribu kutafakari kama Donald Trump angekacha kwenye mdahalo wa Republican, au Obama wakati ule, Obama angekimbia , ingekuwaje ? Tujifunze kwa wenzetu , tuache kujitoa ufahamu kuwa hatujui umuhimu na mchango wa debates,ili tujenge demokrasia yetu iwe pana ,imara, ya uwazi , na ushirikishwaji wa wananchi. Tume ya taifa ya uchaguzi pia iangalie ni jinsi gani hili linaweza kusimamiwa iwe ni lazima na sio hiari. Itoshe tu kusema , asiyeshiriki midahalo hana nia ya kujenga demokrasia yetu, na kwa maana hio hafai kupewa dhamana ya kuongoza nchi yetu, na hivyo ndugu zangu wasioshiriki tusione haya "kuwakata" tar 25 October !
Defiant Donald Trump dominates US Republican TV debate - BBC News

sio dk tu mkuu anajua wanao mshobokea wote hawajitambui, pale hana hoja na hawezi kuongea akaeleweka anatumia uzuzu wa mijitu kuendelea kuwa mwana siasa hahahainafurahisha sana lowasa kukimbia mdahalo.nadhani anaogopa atashindwa simama zaidi ya 30 minutes
hivi mwaka 2005 na 2010 wakina nani walikimbia mdahalo na kwasasa kwann wanataka kisa mzee ni wa vitendo sio wa kuongea sana
Ha ha ha ha ha ha ha ha mmepatikana nyie mafisadi na hilo fisadi lenu lazima asimame jukwaani atuambie atatufanyia nini vinginevyo tupa kure.
kuna midahalo ya ubunge kwa majimbo inaendelea kule azam tv chini ya tido mhando..... wagombea wa ccm wanakimbia kama vichaa.... alianza wa segerea akamkimbia mtatiro, jana wa ccm kwa jimbo la kawe kamkimbia halima mdee sasa unajiuliza hawa watu wanataka mdahalo kweli au wanatishia kujamba wakat wanaharisha? wanabip wanapigiwa halafu hawapokei!!!!!