Mdahalo: Kids Vs Spouses

Hapo sawa.

Hebu twenzetu wozap tukatongozane. Si unajua wanga walikwepua simu yangu na namba zako??

aiseee, pole sana babu. Ila unashindwaje kukariri namba ya wife wako mdogo jamaniii
 
babu yangu Asprin nnaona mambo yako kabla uzee haujakuingia ulikuwa unaongea mipwenti ni balaa.

naomba tu nikwambie kwa maoni yako na msimamo wako humu nikwambie tu ukweli mi love you mingi ghafla na nina imani bibi hajutii kamwe kukuchagua uwe wake wa maisha,na ninaomba kila siku Mungu anipe husband wa type yako,napenda watoto wangu wapendwe sana na baba yao but i cant take it knowing that hommie anapenda wanae kuliko mimi niliyemletea hao waoto,love you mingi babu na huo ndo msimamo unaotakiwa.

mke utakuwa naye sikuzote lakini watoto watakuja kuwa na spouses zao na watawapenda wenzi wao kuliko watakavyokupenda kukufikiria na kukujali wewe at that time wao pia wana ma hommie wao,lakini wifey atakuwa na wewe hadi anapokata pumzi ya mwisho she'll always be there for you,na huwezi kudemand too much love and care kuotoka kwa watoto wako ambao wakati huo nao pia wana watu wa kuwafikiria maishani mwao.
huo ni mtazamo na maoni yangu.

babu Dark City The Finest i love your stand hongereni kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:

I love you too.

Afu unikome... aliyesema siku hizi siongei mapwenti kama madini ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…