Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Hii kitu imetulia saana.Watu hawafanyi kazi kabisa siku hizi hususani secta ya umma.
Nimefanya kazi secta binafsi,lazima kutimiza masaa 40 kwa wiki.
Baada ya kuhamia secta ya umma,watu ni kustorisha,watu wanafanya kazi masaa 0--8 hivi! Hakuna mtu anajali,viongozi wakuu hawafanyi chochote!
Tumetoka kwenye msingi wa kufanya kazi mpaka kugawiana fedha,mf.mabilioni ya Kikwete.
Tunalihitaji Azimio la Arusha pamoja na Tanganyika yetu.
Serikali ya muungano haifanyi kazi sawasawa kuliko Zanzibar.

Wadau,
Katika nukuu hapo chini:
*Yepi bado yanatufaa katika nyakati hizi bila ya kuyabadilisha.
*Yepi yanatufaa lakini baada ya maboresho au marekebisho.
*Yepi hayatufai, hivyo tuachana nayo?
Tujadiliane kwa hoja.
On the Policy of Self-Reliance in Tanzania, February 5, 1967.
Source:
From Africa Report, March 1967 issue of pp. 11-13
Haya yote CCM iliamua kuachana nayo mwaka 1992 na kuleta azimio la zanzibar. Kuanzia hapo, CCM ikaachana na wanyonge na kuanza kuwa karibu zaidi na wenye nguvu - kwa nchini mafisadi, kwa walio nje - wawekezaji. Mwananchi akabaki kuwa ni mtu wa kuokoteza okoteza tu maisha ndani ya mfumo wa uliberali HOLELA.
Kwa wale wanaohitaji tafsiri ya kiswahili, nitajitahidi kuileta.
Tusemezane.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums