Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,896
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....
Limbwata ndio nini?
Ungepiga tu Mkuu,
"Loose Ball" kama hizo sio za kuziachiaga, manake unaweza ukatangaziwa kwa watu kua "haudindi" kaka!!
Ila tu, VAA!!
nakumbuka nliwahi pewa zawadi ya boxer na muuza matunda wa ofisi .......ziliishia dustbin
My darling,nikupoteze wewe teena!!
Watu kama wewe ndiyo mnasababisha wadada wasiwe wanafunguka. Mdada akitoswa huwa Moyo unawauma sana. Ni bora ungekubali halafu baada ya muda fulani ukafuta mahusiano.
Limbwata ndio nini?
Na wewe bwn, mara baba mkwe akulengeshe kwa binti, du angalia shetani anakutafuta sio bure!
Acha woga mwana weka kitu kambani......
Nani tena huyo anakuibia mupenzi???
Mkuu huyo mdada kakosea njia aliyotumia kuja kwako...Nahisi kama anatumia ushauri wa Mwamvita Makamba vile!!Unataka kugeuzwa buzi?...Infact kila mwanaume ni buzi kwa mwanamke wake lakini wewe utakuwa verified buzi kwani kakwambia live uwe unamtunza hapa mjini! Kaka na hivyo vimatumizi vidogovidogo kwa hawa dada zetu huwa vinaongezeka kama tembo.Me ni hayo tu!!
si huyo anayekunogeshea mikahawani?
ndo unakoelekea
huyu "valentina"anaweza akanipoteza,huko chini ya mikahawa hapana!!!
tobaaaaaaa!!!! naanza kuhisi naibiwa,kama mikahawani huwa siendi sasa nani huwa anakanogesha?,miss chagga,nishaibiwa huku
Ulikuwa unachanganya na Kiloba?
Unasikia wapi?Hahaaa tena hao nasikia ni watamu sana
acha masihala hujui maana ya limbwata?!