Mdada Wa Posta (Dar), Hii Tabia Ya Kuringa Umeitoa Wapi?

Mdada Wa Posta (Dar), Hii Tabia Ya Kuringa Umeitoa Wapi?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Unajua Ninalokuitia Wewe?
Unanikera Sana Kwakweli
Usizani Kila Mtu Anakuwinda,
Nataka Nikupe Dili Litakalobadirisha Maisha Yako,
Lakin Nashindwa
Kutokana Na Nyodo Zako Hizo.
Jigo
 
Unajua Ninalokuitia Wewe?
Unanikera Sana Kwakweli
Usizani Kila Mtu Anakuwinda,
Nataka Nikupe Dili Litakalobadirisha Maisha Yako,
Lakin Nashindwa
Kutokana Na Nyodo Zako Hizo.
Jigo

Alikuomba?
 
Sasa shida ya nini mpaka.kusema unaweza kumsaidia mtu ambaye hata hajakuomba msaada?

Mkuu Kuna Mda Unajikuta Tu Unapaka Hamu Ya Kumpa Mtu Dili
Yaan Unakuwa Hutulii!!
 
Back
Top Bottom