Mdada wa NMB ananipa wakati mgumu

mwana unapenda chabo
Chabo tamu mwana, usinikumbushe miaka ya themanini ndani ya utengule Migomigo enzi hizo; maisha ya ujana bwana acha tu. An'way kilicho muhimu kama nafasi ipo, wewe hama tu hapo. Ila kama nafasi haba, wahenga walisema dawa ya moto ni moto. Ongea na mamsapu wako na nyie mulianzishe mpaka na yeye asikie, tena nyie lieni nyote sio mamaa peke yake. Hope ataacha.
 

hahahahahahah,hilo mbona balaa mkuu,mi nae nlie?nitaanzia wapi?
 

Hayatuhusu.
 
Akufukuzae hakwambii toka hasa hasa ukiwa huna mke utakamua besheni
 
Aksante Mkuu maana nimetoka nduki nkijua niko siko. Haya mtoa mada si afunguke tu?

Tatizo hawa vijana wa siku hizi hawafundishwi maneno ya wahenga, au wanasahau yaliyosemwa na wahenga. Wahenga huwa hawabahatishi. Dawa ya moto ni moto, akutendae mtende! Hii tatizo lake dogo sana, aongee na mamsapu wake ili na wao waanze kulia wanapofaidi mchezo wa Adam na Eva. Tena asimuachie mamaa peke yake, walie wote na yeye papaa alie zaidi. Full stop.
 
Kama upo Dar sema Upo mtaa gani nije kukupa solution maana watu kama hao dawa yao ndogo sana!!
 


Mh... inategemea! Si unajua beauty is relative? Wewe unaweza kusema hivyo akaja mtu mwingine akauliza hili li-mwanamke lenye sura kaa kiboko ni la wapi? Na usiniambie eti kila mtu anamsifia kwani hakuna mtu atakayemponda mke wako wakati uko!
 
ahaahha,we unafikiri solution haioni mbona angeshahama siku nyingi. Huyu bila shaka anaenjoy maana inaonekana hajaoa..!!!!


Hata alivyoelezea inaonesha anavutiwa zaidi yeye kuliko hata huyo bf wa mdada huyo. Unasema una mke, jamaa akianza nawe anza, mpeleke huyo wako kileleni naye apige kelele kuliko huyo ili ma mwenye nyumba ashikishwe adabu. Atampa notisi mwenyewe we ubaki na amani irudi
 
Hahahahah Mkuu Zinedine umemaliza mchezo................. unless yeye awe na ya ziada zaidi ya kilio cha bibie huyo. Maana inaonyesha ni zaidi ya kilio ati.
 
Last edited by a moderator:
Daaah nimekumbukakpnd kile nipo chuo nilipanga uswahln xaxa nyumba nlyopanga ilikuwa haina dari n chumba kinachofuatia kulikuwa na mshkaj na dem wake hahaha uSIKU NASHINDWA KULALA dem alikuwa anapga kelele had naamka nakaa ktandan.one day uvumilvu ukanishnda nikamtokea akaagree nikamgegeda kuanzia dat day kukawa hakuna makelele tena HESHIMA ikatawala.
 

Mkuu pole,yanini kuwekana busy kiasi hicho?asikukoseshe amani ya maisha akianza siku nyengine kamwite mwenye nyumba mkamgongee umwambie live unavokereka na mambo anoyafanya,la ka'ulivosema ipo siku atakuja mtu unaemuheshim then atasikia mambo hayo,amini usiamini hadhi yako itashuka japo mgeni wako hatokwambia hilo ila atakuweka ktk kundi ambalo wewe unaamimi haupo.chukua hatua mapem
 
Umeandika kana kwamba unawaeleza watuwanaofahamu ulipo,mjini ni wapi taja jina.
 

Nyie wahaya mmelogwa, amaizi kokunuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…