Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,983
- 10,371
Mtoa mada tema mate chini....
Namshauri tarehe 27 akae nyumbani tu, haruhusiwi kupiga kura.....Swali lako linanipa mashaka kama umetimiza miaka18
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba una miaka 45 wewe?
Labda mwenzetu miaka yako unahesabu kama kifungo cha jela usiku na mchana ni siku 2