Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,244
- 1,180
Habari wakuu! Niko na shida ya kupata mdada wa kazi za home! Mke wangu ni mjamzito na hatua aliyofikia kuna kazi hawez kabisa kufanya nahtaji mdada wa kazi ili ampe kampani.
Bajeti yetu ni elf45 kwa mwezi. Chakula na malazi hapa hapa nyumbani. Naomba msaada wenu kwa mwenye utayar number ni 0621443375.
Natanguliza shukuran
Bajeti yetu ni elf45 kwa mwezi. Chakula na malazi hapa hapa nyumbani. Naomba msaada wenu kwa mwenye utayar number ni 0621443375.
Natanguliza shukuran