MDADA WA KAZI

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Habari wakuu! Niko na shida ya kupata mdada wa kazi za home! Mke wangu ni mjamzito na hatua aliyofikia kuna kazi hawez kabisa kufanya nahtaji mdada wa kazi ili ampe kampani.
Bajeti yetu ni elf45 kwa mwezi. Chakula na malazi hapa hapa nyumbani. Naomba msaada wenu kwa mwenye utayar number ni 0621443375.
Natanguliza shukuran
 
Budget yako ni ndogo mkuu. Hawa wadada siku hizi wanalipwa laki moja kwenda juu
 
Habari wakuu! Niko na shida ya kupata mdada wa kazi za home! Mke wangu ni mjamzito na hatua aliyofikia kuna kazi hawez kabisa kufanya nahtaji mdada wa kazi ili ampe kampani.
Bajeti yetu ni elf45 kwa mwezi. Chakula na malazi hapa hapa nyumbani. Naomba msaada wenu kwa mwenye utayar number ni 0621443375.
Natanguliza shukuran
Yupo mbeya naul elf 45 utalipa akifika ukiTaj nichek
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom