Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
Mkuu yupo. Kama utapenda kumuajiri kwa sasa yuko kahama ila muda wowote anawasili rock city.natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza ,awe anajua kutumia computer.tuwasiliane pm kam uko tayari.
Umeambiwa pm ww unaleta namba yako hapa cjui shule inatusaidia nn jmnMkuu yupo. Kama utapenda kumuajiri kwa sasa yuko kahama ila muda wowote anawasili rock city.
Whattsapp me 0744033555
Mkuu mbona makasiriko sana?Umeambiwa pm ww unaleta namba yako hapa cjui shule inatusaidia nn jmn


violanceKuna kijana wa kiume anajua computer kama unahtaji pia nimuunganishe ..anajitambua na amesoma pianatafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza ,awe anajua kutumia computer.tuwasiliane pm kam uko tayari.
nitumie namba yake pmKuna kijana wa kiume anajua computer kama unahtaji pia nimuunganishe ..anajitambua na amesoma pia
Wanatumia application gan kuweka haya mapicha
Tumia Adobe CC ExpressWanatumia application gan kuweka haya mapicha