Mdada wa benki wa ukweli sana

Msaidie Mwanaume Mwenzenu.
lol.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
okay poa leo naenda asa hv
 
nahisi humu ndani kuna mtu anafahamiana naye
 
daah aiseee,,,pole sana huyo dawa yake ungemla tuu
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Usitake kuniambia hata maongezi chokozi hauna? Acha hizo mwanangu, face to face works pretty much.

Jilipue yani.
 
Na unapozitoa hizo hela hakikisha kuwa unaongeza noti ka 4 hivi kwenye kila fungu halafu ujifanye ka hujui kuzihesabu. Baadaye mwombe namba yake ili hata ukimtuma mtu kukuwekea umtume kwake straight. Hakika utapate hiyo namba yake tu
Kwekwekeee
 
Karibia benki nyingi tellers wanawake ni warembo ila baadhi yao ni wezi hatari,yani ukipeleka pesa ukazubaa tu unaambiwa elfu kumi imepungua kaka inabidi ujazie .
duuh kumbe
 
Aisee wewe jamaa ni mzigo,yaani umuone wewe ushindwe kuomba namba. Halafu unakuja kutuliza sisi ambao tuko mbali na Dodoma? Nitumie jina lake PM nitakusaidia kukutafutia namba zake nina mtu anafanya azania Dodoma.
da way alivyo ni mweupe, mfupi hivi na ana tako kubwa kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…