Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,559
- 20,777
Ukishafanya yote hayo sio ujishebedue!Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru
Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi
Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi
Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee
Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda
Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko
Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo
Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane
Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri
Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
Zamani sie tuliita mtu apige povu(aoge).Kwanini yavunjike tenaa...si ndo nmefundisha kuoga
Uchafu iz not fo everybadeeeee
Kipara cha wap 😎Nadhani leo ni ugali day, na mie nimetoka kuufinya hapa nikimaliza niende zangu waxing....kipara hoyeee
Haoneapuuzi wanakula ugali ulioeksipaya maninaSitaki kuharibu kwaresima yangu 🫢
Nipo salama kabisa, sijui wewe?Upo Rafiki, za Siku nyingi
Usiku siwez kuvaa chupi jamani🙌Unaoga asubuhi unavaa safi unaenda kazini,ukitoka unaoga unavaa nyingine 2×2 sio 3×1 hapo ni mateso labda kwa wale wagonjwa wa harufu kali
Wax unafanyiaga wapiNadhani leo ni ugali day, na mie nimetoka kuufinya hapa nikimaliza niende zangu waxing....kipara hoyeee
Nipo Rafiki, kitambo sana, nimefurahi kukuona Tena hapaNipo salama kabisa, sijui wewe?
Shukrani, nikutakie jioni njemaNipo Rafiki, kitambo sana, nimefurahi kukuona Tena hapa
Hahahaha 🤣 😂 🤣 😂Usiku siwez kuvaa chupi jamani🙌
Na wewe piaShukrani, nikutakie jioni njema
Rafiki
Ewaa😂Mwanamke ambae haogi sana na hatumiki hovyo ,huwa anakua na kaharufu ka kipekee na taste nzuri sana ,mabeki tatu waishi aseee.
Waambie hao.Mwanamke unakuwaje na kiharufu