😹😹😹😹 Kwahiyo unafanya hivyo sababu ya pesa?Yaani unakutana na Amita huyu hapa.
Afu wanaume wenye hio hali kwa kupenda kunyonywa🙌🙌, sijui hawaoni kama wanatusumbua?
Yaani lile lipingili linavyotisha jamani!
Pesa hizi zitatutoa roho jamani!
Mungu aingilie kati tu kusema ukweli!!
Hayakuhusu 😏😹Bila shaka hua mnaenjoy sana kuliko mkiwa na mwanaume 😎
Nipo bff wangu, naona umekuja kutufunda..!!Bff upo
Sijataka kujua mengi sana nimetaka kujua yapiMengi sana
Wewe ndiye pisikali sasa. Hiyo lotion ya Palmer's inauzwa bei gani?.Mwanamke unakuwaje na kiharufu
Osha hizo nywele zisinuke,usikae na nywele miezii hadi zianze kutoa harufu
Safisha uso huo usiwe kama umemwagiwa pumba, ukiweza tafuta face wash uso uwe na nuru
Shingo hiyo isugue vizuri isiwe nyeusi kama ya mbuzi
Shuka kwenye manyonyo hayo sugua chini ya ziwa kuna tabia ya kutengeneza weusi, sugua vizuri katikati ya ziwa hapo pasiwe peusi
Sugua mgongo huo,shuka hadi mstari wa ikweta huo jasho la huko linatoa harufu si mchezo,sugua na unyoe hivyo vidaka ushuzi
Sugua wowowo hilo fanyia scrub hivyo vipele vinaisha, hakikisha linakuwa soft jamani sio gumu kama tairi 🤣
Ukimaliza lipake body oil lilainikeee
Sugua kwapa,nyoa hizo nywele za kwapa ndo maana kiharufu hakiishi,tumia limao kutoa harufu ya kwapa kama deodorant ya afu tatu imekushinda
Huko kwa bibi nyoa, safisha mashavu ya bibi nje na ndani, ukitoka period fanya steaming kutoa hiko kiharufu cha period.
Ukiweza kufanya waxing fresh!ukiweza kunyoa kwa shaving cream sawa,mradi tu usiwe na manywele huko
Sugua ulimi huo usinuke mdomo ni kero sana,meno yawe safi tumia mouth wash msichana unanukaje mdomo
Kucha zako hakikisha ni safi kama unafuga hakikisha ni safi kama ni fupi hewalaaaa, kama rangi paka ijulikane
Acha kutumia mkorogo
Acha kubadilisha wanaume nayo ni uchafu
Kunywa sana mtindi
Kula matunda
Acha kunywa energy drinks sio nzuri kiafya
Ukiweza nunua sunscreen jua sio zuri kwa ngozi
Hakikisha unanukia vizuri
Hakikisha una chupi nzuri
Mengine ongezeeeni...I come in peace ✌️View attachment 3287037
AmenOmba Mungu isije mwanao naye kama sio leo basi kesho siku moja naye akaitwa beki tatu na atatumika.
Mungu akusaidie
Yote yanawezekana, siku moja moja lazima nijaribu ladha ya nje.😹😹😹😹 Kwahiyo unafanya hivyo sababu ya pesa?
Nimeongeza la size kubwa🤪🤪🤪😹😹😹😹😹 khaaaaaaa!!!
Ila Madame mbavu zinauma, umeongeza nini?? 🤣
Ila mod's nao wakati mwingine sijui wanakuwa wamevurugwa, sasa pale cha ajabu kilikuwa nini?Waliwaambia mod’s wafunge uzi 😹
Mi bhana nitakuja pm uendelee kunifunda 🤣
Ukimuuliza, anakwambia yeye Yanga kindakindaki.Mtu unamuheshimu vizuri tu akivua jeans ndani ana pensi la yanga 🤣🤣🤣🤣
Sawa, nshaelewa.Hayakuhusu 😏😹
Teheeeeeee kumbe anajisiliba sana sijapendaKuna dada huku mtaani nadhani anazingatia sana usafi na karibu yote hayo uliyoyaandika anayazingatia, ila sasa akienda kuoga then na ww ukifuata lazima bafuni ukutane na udongo chini kumbe ni idadi ya mafuta na manukato anayopaka hvy akioga yote yanaanguka chini.
Hv kumbe na nyie huwa mnajua kama huyu demu mnato au sio!Wakikutana na kiharufu cha samaki wanavaa chupi zao kichwani kama helmet 😂
Mm sijawahi kukutana na mwanamke anayenuka ila nshawah kukutana na mwanamke sio mtamu ikabidi nmkimbie mana nlkuwa sifurahii tendo 😎
Kuna wenzako huko wanapata shuruba kila iitwayo leo.Dah bc mm bado sana kuhusu wanawake, sijawahi kukutana na wanawake wa namna hy labla kwa sababu Mm sio tombatomba, hua nakutana na suruali + chupi au sketi + chupi tuu 😎 hao wanaokutana na vikaptula vya jezi nawapa pole 😂
Aisee 🙌Nimeongeza la size kubwa🤪🤪🤪
Woyooooo🤸♀️🤸♀️.🤝
Ukiwa mwanamke bc n lazima uwe mrembo, kama n mwanamke afu sio mrembo bc hilo n tatizo.
Em nipe maelezo ya hy ya one cup, Nataka Na mm niifanye siku akizaliwa wangu wa kufanya nae uchafu