Okey ishu ya usalama inaweza kuwa na mashiko kidogoMazoea pia yanachangia. Ndivyo alivyokuzwa na mdada wa kazi.
Ana kipato chakutosha kumwajiri mdada wa kazi.
Mtu wa kusafiri sana, usalama wa nyumba uwepo.
"Hana familia', soma tena mkuu.kweli mie kilaza!umesema unashangaa mdada ANA KAZI YAKE TENA MSHAHARA HAUZID 6 DIGITS! .ndo maana nikakuuliza na huo mshahara 6 digits unatka abebane na mtoto aende na kazini?? hebu soma ulichoandika tena! atleast ungesema mdada asie na ajira
Khantwe sasa uswazi si ndio kuna udokozi na usalama hafifu zaidi...!!!Hii ni inaweta kuwa na mashiko kwa wale walio na nyumba zao au wamepanga nyumba kubwa sasa mwenzangu na mimi umepanga chumba kimoja au viwili uswahilini mmh
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahaUliuliza sababu? Au unataka kupangiana maisha. Sisi ni binadamu hujui kuna kuumwa?, kuna kusafiri, kuna siku umerudi umechoka, unadhani ni rahisi kuamka kila siku ufagie uwanja asubuhi na kazi za nyumbani?. Pia huoni ametoa ajira pia. Pambana na hali yako, acha wenye uhitaji wa housegirl tuwe nao, unadhani kuishi mwenyewe mchezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu afadhani umenisaidia. Mimi ndio maana ualimu ulinishinda Walah..kubakia nafafanua kitu ambacho kipo wazi ndo kazi siwezagi kuifanya kabisa"Hana familia', soma tena mkuu.
Hahaha mkuu vip tena au ndo wewUliuliza sababu? Au unataka kupangiana maisha. Sisi ni binadamu hujui kuna kuumwa?, kuna kusafiri, kuna siku umerudi umechoka, unadhani ni rahisi kuamka kila siku ufagie uwanja asubuhi na kazi za nyumbani?. Pia huoni ametoa ajira pia. Pambana na hali yako, acha wenye uhitaji wa housegirl tuwe nao, unadhani kuishi mwenyewe mchezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi mbona povu kwani kuna mahali nimewatukana? Ndio maana nimeuliza swali kwa mtu mwenye sifa hizo nlizotaja anahitaji house girl wa nini?Uliuliza sababu? Au unataka kupangiana maisha. Sisi ni binadamu hujui kuna kuumwa?, kuna kusafiri, kuna siku umerudi umechoka, unadhani ni rahisi kuamka kila siku ufagie uwanja asubuhi na kazi za nyumbani?. Pia huoni ametoa ajira pia. Pambana na hali yako, acha wenye uhitaji wa housegirl tuwe nao, unadhani kuishi mwenyewe mchezo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwa mwezi unakunja tarakimu 8? Yaani 00,000,000!!!! Wow, ngoja nipambane na hali yangu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Pia zipo dharura kuna siku umechelewa kurudi nyumbani nani atakuwashia taa za nyumbani. Sio kila mtu kaajiriwa karibu na nyumbani kwao wengine tuko mbali mikoani. We umeona tu wa 6 digits mie nina 8 digits na niko mkoani. Nikienda likizo nyumba nambakizia nani? Au mnaongeaga tu bila kufikiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bwana nakubaliana na weweKhantwe sasa uswazi si ndio kuna udokozi na usalama hafifu zaidi...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ameshasoma ameelewa[emoji23][emoji23][emoji23] dah mwambie asome tena
Ww hg humtaki?[emoji16]
Hongera mwaya 8 digits we bosslady hata ukiajiri bodyguard kwa raha zako. Nazungumzia wale wenzangu na mie wa huku buguruniPia zipo dharura kuna siku umechelewa kurudi nyumbani nani atakuwashia taa za nyumbani. Sio kila mtu kaajiriwa karibu na nyumbani kwao wengine tuko mbali mikoani. We umeona tu wa 6 digits mie nina 8 digits na niko mkoani. Nikienda likizo nyumba nambakizia nani? Au mnaongeaga tu bila kufikiria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee kuna watumishi wa ndani wanalipwa mishahara ya ajabu sanaPia niseme tu kuwa, uwepo wa "cheap labour" kwa nchi zetu hizi unachochea mtu kuamua kuwa na mfanyakazi wa ndani. Ingekuwa kama huko magharibi huenda hata wenye familia tusingeweza kuwa na wasaidizi wa ndani.
Wee nani kasema mi mwenyewe natafuta hiyo kaziWw hg humtaki?[emoji16]