Mdada, ukipata mpenzi Mgande


 
Sasa anayeringa uzeeni ana matatizo. Mdada binti ugande mwanaume ili iweje? Mgande anayekuganda

Mtoa mada ndio anaomaanisha hao wazee.
Binti mdogo mrembo huo muda wa kuganda wanaume hawezi kuupata.
Zaidi atamganda mwanaume anayempenda na sio vinginevyo.

Tatizo linakuja Wadada hawajui kuringa, wanaringia mpaka washikaji zao wanaowapenda alafu umri ukiwatupa wanaanza kujidhalilisha na wanaume wasioeleweka Wakati walikuwa na nafasi nzuri tuu na walishapataga Vijana walionyooka
 
Unaakili wewe dah!HADI imedinda!hivi unapatikana wapi my!!?
 
Unatafutaje Mwanaume wa kukunyanyasa?

Ndio maana nikiwaambia hapa Wanawake mjiweze kiuchumi na msipende kuhudumiwa kuna wanachukia utadhani nimewatukana. Lakini ninajua Kwa nini nasema hivyo.
Na kweli..Wanawake wengi wanaotegemea wanaume 100% hunyanyaswa sana...

Ukiwa na chako unajiamini na inaleta heshima hata kwa partner wako
 
Pambaneni wenyewe mie sio mdada.
Na kisheria mwanaume ndo anatakiwa akugande, akutake wewe uwe mke wake sasa naona nyie mnataka kuvunja hiyo sheria. Mimi simo
Sheria ibara ya ngapi
 
Ngoja nione kwanza To yeye na binti kiziwi wana maoni gani kuhusu hili.
Yuko sahihi kwa 90% Kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba yangu ya TTCL 😂

Ila pamoja na ugumu wa game waangalie wasijeng’ang’ana kwenye abusive relationships….

Na kama umebarikiwa kumpata mwenye unafuu bora uende CUBA ukasome maana nyakunyaku wanawinda sana sa hivi. Macho juu juu watu hawatulii! Ila kuna wanaume wanawindwa sana, mimi hukaa pembeni na kucheka🤣
 
Somo zuri sana hili,ngoja nikupigie kwa namba yako ya TTCL ili tutete pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…