Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Nakuambiajee Kiranga bebee wangu pesa anazo, kila nikitaka miguu ya kuku na utumbo, napanda ndege nakuja huku uswekenii, nikichokaa napanda ndegee huyo Los Angeles.

🤣🤣🤣🤣🤣Usifute number yangu ya simu nakushauri,,,,Sina Imani nae sana huyo japo nimempitisha!Nina mashaka nae
 


Watu wanataka kuwapeleka bebez zao USA huko we unakuja na habari za magurudumu, yasukume mwenyewe
🙄🤣🤣🤣Ww sinikijana mwenzangu alafu unanipondea kwa bebez usiwanyime ridhiki bhn kila mmoja na Maono yake wakuja aje uko SA mbn mshachoka kwenda ata ivo
 
Nakuambiajee Kiranga bebee wangu pesa anazo, kila nikitaka miguu ya kuku na utumbo, napanda ndege nakuja huku uswekenii, nikichokaa napanda ndegee huyo Los Angeles.

🚶🚶🚶🚶🚶utumbo upo ata pale kwa mama kibonge buza mbn mtam pia au upo uo🤣
 
Kama Kawa!sisi ndio ndugu wananchi watanzania 🤣🤣🤣
Fitna tumezimaliza, asante dada mkubwa.

Sasa naomba nisaidie nimesikia wadogo zako wananifanyia ulozi.

Mimi sipendi mambo hayo, wajiamini tu, tunajenga udugu piga ua galagaza.

Ulozi sipendi.
 
noma sana.

Ndo mana kiranga aliamua kupiga kura kwa miguu kwenda kusukuma gurudumu lake halafu leo ndio kama hivi anatafuta wa kuteremsha nae gurudumu.
Nasema uongo brother Kiranga ?
Naam,

Mwanamme nguvu atii, nguvu zote za juu na chini na mfukoni 😀 😀
 
Ukweli ni kwamba mahusiano yoyote yaliyodumu muda mrefu,hadi wengine ni wababa/wababu/wabibi

mkamatia funguo ni MWANAMKE huu ujumbe ni murua kwa wanawake,ndoa yoyote iliyodumu,mahusiano yoyote

yaliosonga umri mrefu komando wa game ni mwanamke,niko na ushahidi na hilo,Kuna mdada nadhani nitamuoa

nitamuoa kwasababu nyingi ila sababu yake kuu ni hiyo KUNATA NA BEAT bwana nishampush mbali na mimi sana tu

hamna kituko sijamfanyia,hamna tukio sijampiga,tukiseparate anabaki kama rafiki ananizoom tu yani HAKOMI

kila nikiwa single kenyewe hakooo,sasa ninakoelekea nadhani nikukaoa TU ndio zawadi inayomfaaa,maana ni zaidi

ya RUBA,saivi namalizia kumverify nijue Kwanini amekua hataki kuniachia niende afanye maisha yake,usikute anataka

nimuoe anifanye msukule wake milele anikomeshe,haiwezekani asee Kuna wakati nahisi anataka nikishamuoa animwagie TINDIKALI maana kuna tukio ashanidaka nalo nahisi niliuvunja vunja moyo wake vipande vipande

ila mwanamke yule mwana hakomiiii,yumo tu kama kondakta na dala dala yake.
 
Fitna tumezimaliza, asante dada mkubwa.

Sasa naomba nisaidie nimesikia wadogo zako wananifanyia ulozi.

Mimi sipendi mambo hayo, wajiamini tu, tunajenga udugu piga ua galagaza.

Ulozi sipendi.
Nimehuzunika sana na tabia zao za kishetani🙇🙇🙇🙇🙇nitawaonya.

Nyie mtapoteza mtapoteza visa ya St Monica shauri zenu nyie endelezeni mambo yenu ya ulozi Cute Wife cocastic
 

dah wanaishi kama wapangaji
Aki relationships are overrated mbona mnafanya haya mambo kuwa magumu?
 
Mods,nina zawadi yake huyu mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…