Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mwaga madollal umzime kisirani

Na mimi nitafutie bas waarabu wale wenye visima vya mafuta

Nataka nihongwe G Wagon mie
Usikonde, huku kuna Waarabu wa koo za Kisultani mpaka ma Tech billionaires.

Wewe tu, hatunumui nyumba, tunanunua visiwa.
 
Naam,

Atakayetaka kuchangia kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji tutampa contacts achangie.

Honeymoon Maldives halafu ya pili Tahiti.
Harusiiii ya kitajiriiiiiii ninayooooooo

Cute Wife uduguuuu niwacheeee, nataka kubehave ki ushuaa, c unajua mambelee hakuna uswaziii??
 
Njooo babeee wangu, harusii hakuna kuchangia, afu honeymoon ni Maldives

Hapo chacha udugu wataturoga mwaka huu, huko Maldives tuko sambamba huniachiii

Hapa naandaa swimming cost awwww mbona pambe
 
Naam,

Atakayetaka kuchangia kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji tutampa contacts achangie.

Honeymoon Maldives halafu ya pili Tahiti.

Shem una jeuri ya pesaaaaaaaa

Shikilia hapo hapo usiachieee
 
Hapo chacha udugu wataturoga mwaka huu, huko Maldives tuko sambamba huniachiii

Hapa naandaa swimming cost awwww mbona pambe
Nakuachajeee sasa??

Nawee ukajipatiee mzungu wako huko, utulie kwenye mansion.

Mwaka wetu huu.
 
Shem una jeuri ya pesaaaaaaaa

Shikilia hapo hapo usiachieee
Kwani unafikiri hata nikitaka kuacha nitaweza, jinsi nilivyoshikwa!

Honeymoon ya tatu Machu Picchu.

Siyo machupichupi, Machu Picchu
 
Usikonde, huku kuna Waarabu wa koo za Kisultani mpaka ma Tech billionaires.

Wewe tu, hatunumui nyumba, tunanunua visiwa.

Nasemajeeee Nasemajeeeee

Shem niunganishe chap tuanze kufahamiana na hao billionaires, ndio ugonjwa wangu huo

Vipi yule wa PSG huna ukaribu nae?! Naye ananivutia sana, nataka aje anunue Makolo fc Moh team ishamshinda inaenda kushuka daraja
 
Aaah, yule mbona kazi ndogo tu, niachie mimi hiyo.
 
Kwani unafikiri hata nikitaka kuacha nitaweza, jinsi nilivyoshikwa!

Honeymoon ya tatu Machu Picchu.

Siyo machupichupi, Machu Picchu

Shem wanipa rahaaaaa miye hujui tu!

Mambo hayo nayapenda mimi jomoooni!!!

Hebu fanya uwahi kuja, kabla wanga hawajaamka
 
Aaah, yule mbona kazi ndogo tu, niachie mimi hiyo.

Mashem km nyie ndio tunawataka, sio wa kutaka kuzima taa dada akiwa hayupo

Niletee wa PSG ananitosha, nataka nimrudishe Messi
 
Shem wanipa rahaaaaa miye hujui tu!

Mambo hayo nayapenda mimi jomoooni!!!

Hebu fanya uwahi kuja, kabla wanga hawaamka
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

huna ugeni nao kabisaaa
 
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

huna ugeni nao kabisaaa
Sasa si unakuja mwenyewe airport, mimi sitaki kupokelewa na mtu mwingine yeyote hapa ujue.
 
Uko sahihi ndugu, nina ushahidi wa hilo, ndio maisha tuyoishi sisi tulio kwenye ndoa za kikristo.
 
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

huna ugeni nao kabisaaa

Tena manyaku nyaku ya bongo movie uwe makini nayo sana udugu

Twende nikupeleke Nguruka Kigoma uko tukamset shem, au Malawi kabisaa asione wala asisikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…