Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Na utachinaaaa uduguuuu wanguuuu, USA km mbeleeee,
, niwacheeeee eti Kiranga wee si boss kubwaa Una mahela km yoteee? Tena unisomeshee masters hapo Massachusetts.
 
nasemajee huyo baba ana helaa balaa, anaweza kuinunua JF yote pamoja na mello na moderators wake.

sawa sawa udugu mke wa tajiri, ila chonde chonde ticket ziwe go n return sitaki ya Gigy!! Tutajikuta Mange app tumechafua hali ya hewa
 
Mlongo nileka na lidoda langu leniliii, lina hela, koto kumkinilaa wengaaa, au ve ugani lepa tuhamba kwe ku marekano??uwaya kukwela mndege?? Apu hinu pe paunijovili niyeliwi he.

Jichanganye dada kashakuchana
 
Na utachinaaaa uduguuuu wanguuuu, USA km mbeleeee,
, niwacheeeee eti Kiranga wee si boss kubwaa Una mahela km yoteee? Tena unisomeshee masters hapo Massachusetts.

Kiranga komo, zingatia jina la shem lakini
 
sawa sawa udugu mke wa tajiri, ila chonde chonde ticket ziwe go n return sitaki ya Gigy!! Tutajikuta Mange app tumechafua hali ya hewa
Nyokooooo zako, mange alivyo mkuda utaskia "mchachuaji wa jamii forums aachwa solemba Atlanta "

Ntavoanza kufukuliwa had kyupii navaa rangi ganii
 
@Kiranga bebee beibee hebu njoo waeleze ukweli kuhusu pesa zako ulizoficha Uswisi, si ndo ulisema za kunihongaa mie??

Pesa tuu? Hizo mbona kama nachapisha mwenyewe!

Pesa kwangu si tatizo katika matatizo ya dunia hii.

Watu tunataka muda wa ku spend pamoja.

Tunataka kumaliza fitna za wadada wakubwa wanaotaka kutuzibia.

Wengine Trust Fund Babies, unaijua Trust Fund?

Pesa mbona bado natumia za mababu bado, zangu mimi hata siwezi kuzifikia
 
Kiranga komo, zingatia jina la shem lakini
Fitna zishaanza naona kijumbe hakijajumbe, dada mkubwa kachacha hataki mahari wala harusi. Nataka kuja mwenyewe nimalize kazi.

Sitaki mchezo mie.
 
Kuna muda naona kama ndoa ya kikristo ni utumwa mwingine ambao umehalalishwa.
True hasa ukikosea kuoa kifuatacho ni kifo Cha mapema.
Nadhani wanaume wakristo ndio wanaongoza kufa mapema sababu ya kubeba mzigo mzito wa stress za ndoa unaotenganishwa na kifo.
Tofaut na waislamu wao wanaishi Kama wapangaji ukizingua unazinguliwa.
Ukristo umekosea kuoa kuolewa zigo lako Hilo kama ni lipigaji,tukanaji,zinzi,levi,ongo yaani unabeba mzigo wamalezi mabovu toka kwa mama yake kumlea vibaya.
 
Fitna zishaanza naona kijumbe hakijajumbe, dada mkubwa kachacha hataki mahari wala harusi. Nataka kuja mwenyewe nimalize kazi.

Sitaki mchezo mie.

fanya uje tu shem, lakini kwa dada mkubwa hujapiga muhuri kweli?!!

Mbona km anakujua sana?!!
 
Nyokooooo zako, mange alivyo mkuda utaskia "mchachuaji wa jamii forums aachwa solemba Atlanta "

Ntavoanza kufukuliwa had kyupii navaa rangi ganii

Utajua hujui

Hiyo siku tutatupa simu kwa muda wa miezi sita
 
Nasemajeeeeee babeee ninaee m1 tyuuh, habariiiiii iwafikieeee.
Ongezaa sautiiiii,
 
Fitna zishaanza naona kijumbe hakijajumbe, dada mkubwa kachacha hataki mahari wala harusi. Nataka kuja mwenyewe nimalize kazi.

Sitaki mchezo mie.
Njooo babeee wangu, harusii hakuna kuchangia, afu honeymoon ni Maldives
 
Mimi si mwingi wa habari hivyo, yule kisirani chake kitashuka tu.

Ataelewa tu.

Mwaga madollal umzime kisirani

Na mimi nitafutie bas waarabu wale wenye visima vya mafuta

Nataka nihongwe G Wagon mie
 
Jamani natafuta mchumba tuweze sogeza gurudumu la Maisha pamoja🤣
 
Njooo babeee wangu, harusii hakuna kuchangia, afu honeymoon ni Maldives
Naam,

Atakayetaka kuchangia kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji tutampa contacts achangie.

Honeymoon Maldives halafu ya pili Tahiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…